herzegovina
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 3,141
- 4,721
Salaam,
Kwa takribani miaka 20 hivi (1995-2015), Edward Lowassa alikuwa anaonekana ndio mwanasiasa Mwenye nguvu zaidi ndani ya CCM. Pia alikuwa anaonekana kukubalika zaidi(sijui hata ni kwanini).
Wapo wanaosema kuwa Lowassa na marafiki zake ndio walikuwa wanaamua nani akae wapi, nani agombee nini kupitia CCM.
NGUVU YA LOWASSA ILITOKA WAPI?
Kwanza kabisa Lowassa ni MTU aliye-invest kwenye siasa. Ni mwanasiasa aliyekomaa haswaaa, hivyo aliweza kutumia njia anazozijua yeye mwenyewe kukubalika kila kona na kuwa na nguvu kubwa. Ndio maana hisia za wengi zilianza kuonekana siku alipotangaza nia ya kugombea urais, zikaendelea kwenye kuchukua fomu, mpaka kwenye kukatwa, jambo ambalo mpaka leo bado linamtia kiwewe mwenyekiti wa sasa wa chama kiasi cha kuendelea kufukuza wanachama wake.
Akiwa CCM, Lowassa alidumu katika nafasi mbali mbali za uwaziri, mpaka uwaziri Mkuu....na pia alikuwepo kwenye kamati mbalimbali za bunge. Kisiasa, huyu Mzee ameshiba sana.
KINACHOSIKITISHA...........
Leo hii CCM, MTU Mwenye nguvu kuliko wote ni Paul Makonda. Yeye ndiye anaamua nani awe wapi, nani abaki, nani afukuzwe
Kwa nini?......kwa kipi???....
Hapa Lumumba mmetusikitisha sana.