Erooo subaiKaribu sana Arusha!
Nilijua mmeachana!!
umejuaje na nyumba za watu??
hivi na wewe ni chali ya Ara'
Erooo subai
Itakuwa final destination 6Utasubiri sana meli Airport....
Hongera sana! Hata mimi niliacha kunywa pombe zamani sana. Sikuhizi nakunywa Ndyofu tu!
Itakuwa final destination 6
Aisee poa kabisa! !!umepotea wapi leo kama kawaida kule mahali petu jioni!Ebhaa! Habari ya ngaji?
Hongera Shem.
Me nakunywa Gongo tu,pombe no!!!
Another holiday
has come on my face
i just want to go back
where my parents lives
to take my self back hoome
i wanna come back home
let me go hooooome
i just wanna goo hoome.
I miss them you know.
usikae sana jamaa yangu tarehe 3 unatakiwa uwe umerudi,
umemsahau Kibacha nn?