From Aza boy vipaji mpaka Aza boy ******.

From Aza boy vipaji mpaka Aza boy ******.

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,443
Reaction score
12,178
Da, iliniuma nilipo kuwa nchi jirani kuangalia tv naambiwa shule niliyopata kusoma enzi hizo ikiwa shule ya vipaji leo hii inakuw shule ya 9 kutoka mwisho, means vilaza product, please tulio soma pale tunaitaji kukutana kujadili hatima ya shule yetu.

haiwezekani mkuu washule aliyekuwa mgonga miuli kipindi kile haiue shule yetu.

kama ulisoma pale toa neno la kututia moyo tunaopanga kukutana na kuinuslu shule yetu, sasa inaitwa kutoka VILAZA, MPKA VIPAJI AGAINI COMPAIN!
 
LAKIN AZABOY WAZUR KWA O'LEVEL BUT KWA ADVANCE SIO SANA HATA HIVYO SIO WA KUSHIKA NAFASI HIYO
 
Back
Top Bottom