Heri wakuu.
Mwenye uzowefu na hiyo box,
Najaribu kuweka simcard,inaisoma lakini haiwezi kuconnect internet.
Tafadhali anaeijua,naomba anijuze shida yaweza kuwa nini
Heading haijaeleweka mkuu. Ungeeleza kwa undani. Nenda settings kisha chagua mtandao husika click saka neno access point names click anza kuset mfano name Vodacom kisha Apn weka internet kisha save