AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,651
- 4,758
Kama thread inavyoeleza...naombeni msaada nielewe...nimenunua friji mpya leo...nimeiwasha baada ya masaa takriban ma4 baada ya kufikisha nyumbani...
Naona inapata moto pembeni...naombeni nijue ni kawaida au ni tatizo...?
Na kama ni tatizo...nifanyeje..?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona inapata moto pembeni...naombeni nijue ni kawaida au ni tatizo...?
Na kama ni tatizo...nifanyeje..?
Sent using Jamii Forums mobile app