Kuku wa Kabanga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2009
- 807
- 369
Habari wadau,ninauza friji la vinywaji la westpoint milango miwili,limetumika kama miezi 6 na bado lipo kwenye hali nzuri,bei laki 9.
Habari wadau,ninauza friji la vinywaji la westpoint milango miwili,limetumika kama miezi 6 na bado lipo kwenye hali nzuri,bei laki 9.
p
picha wapi? kula laki 2[/QU
bora mkuu anataja laki tisa as if ni elfu tisini! Laki tisa unapata friji kubwa moja,ndogo moja na chenji inabaki