๐—™๐—ฟ๐—ถ๐—ท๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ ๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ด๐˜‚๐—ป๐—ฑ๐˜‚๐—น๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐—บ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐Ÿญ๐Ÿต๐Ÿญ๐Ÿฏ

๐—™๐—ฟ๐—ถ๐—ท๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ ๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ด๐˜‚๐—ป๐—ฑ๐˜‚๐—น๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐—บ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐Ÿญ๐Ÿต๐Ÿญ๐Ÿฏ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,221
Reaction score
2,425


๐Ÿ’ก Imepita zaidi ya miaka 112 toka friji la kwanza kugunduliwa Mnamo mwaka 1913 kupitia kwa jamaa mmoja mmarekani anaitwa Fred W Wolf ndo alikua mtu wa kwanza kugundua jokofu la umeme lenye kutoa barafu.

๐ŸŒ Lakini Rasmi yakaanza kuingia sokoni mwaka 1918, ilipofika mwaka 1956, ma friji ya gharama yakaanza kutengeneza yakiwa na muundo wa kipekee sana.

2_20250509_181414_0000.png


Waliweza kutengeneza friji kama Magari ya kifahari, muundo unayoiona kwenye video ulikua wa kipekee sana ndani Kuna shelving inayoweza kubadilishwa, sehemu ya kuhifadhi mbogamboga, muundo wa kukunjwa kunjwa kuhifadhi vitu.

Kwa Tanzania mtu watu wa Mwanzo kutumia friji walikua wazanzibar miaka ya 1960s ๐Ÿ”ฅ

3_20250509_181414_0001.png


Mpaka Leo hii friji imekua sehemu moja wapo muhimu kwenye maisha ya watu, unakumbuka mara ya kwanza kwenu kumiliki friji ilikua mwaka Gani tuachie maoni yako ?
 
Jihadists wakisoma hii watapita tu kimyakimya kama vile hawaioni lakini ingevumbuliwa China, Russia au Iran hapangetosha humu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom