Paul Mchumi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2013
- 1,043
- 1,276
Hiyo hamsini baki nayo tu Boss!KULA 50
Sasa ulijua fridje lipi kwa iyo bei.....na ukitop up 30,utapata friji gani la laki mbili lililo makini....wabongo bana,tunaishi kiudalali muda wote!Dah nimekuja kasi nikajua friji kwelikweli..kumbe kituko
Mkuu mtu akitop up 30 anapata chombo makini
Mkuu unatokea vwawa nn?Sasa ulijua fridje lipi kwa iyo bei.....na ukitop up 30,utapata friji gani la laki mbili lililo makini....wabongo bana,tunaishi kiudalali muda wote!
Mkuu unatokea vwawa nn?
Hio ni fridge au kafirijiSasa ulijua fridje lipi kwa iyo bei.....na ukitop up 30,utapata friji gani la laki mbili lililo makini....wabongo bana,tunaishi kiudalali muda wote!
Au alinunua used kwa WapembaDu kama kweli imetumika miezi minne tu! Ni hatari! Au ni miaka minne mkuu umekosea!