elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,747
Tumshauri..Kwa hyo sisi wana jf tuchukue hatua gani?
habari za asubuhi waugwana, siku za nyuma nliwahi kuandika kuhusu msichana flani ninaye mpenda lakini anadai ana mtu na akadai kama nataka tunaweza fanya mapenzi then tupotezeane kabisa.
Sasa mimi nilikataa mwanzo lakini kutokana na ushauri wa watu mbalimbali na pia huyo mtu anaye dai yuko naye sijawahi kumwona wala hata kusikia wametoka wote. Mwisho wa siku nilikubariana naye.
Yani hivi sasa niko naye japo yeye usema mimi naye ni marafiki lakini mambo tunayo fanya ni zaidid ya rafiki.
Hanizuii kufanya lolote juu ya mwili wake.
Ninapo mhtaji yuko tayari kuja muda wowote mpaka watu wengi wanadhan yeye ni mpenzi wangu lakini yeye anadai mimi ni rafiki yake tu.
Kuna kipindi uwa naona huyu msichana may be ndo keshakubari kuwa na mimi lakini itatokea siku atamtaja huyo anayedai ni mtu wake sasa nashindwa elewa nifanyeje.
Niko naye hivi mwezi wa 8 sasa.
Yani nina maswali mengi yasiyo na majibu na mimi ndiyo nshampenda sana tena sana.
hebu mpe mimba alafu ndo utajua, akisema anaitoa jua kweli jamaa yupo.
sasa kama kashasema yeye anakuchukulia kama rafiki tu na wewe unamchukuliaje..!? maana kama alishakwambia mapema juu ya hayo yota na ndo anayoyafanya mi simlaumu (maana anafanya yale mliokubaliana kuwa mfanye mapenzi na mbaki kuwa kama marafiki wa kawaida tu na wewe ukakubali) sasa unataka ushauri gani!!??habari za asubuhi waugwana, siku za nyuma nliwahi kuandika kuhusu msichana flani ninaye mpenda lakini anadai ana mtu na akadai kama nataka tunaweza fanya mapenzi then tupotezeane kabisa.
Sasa mimi nilikataa mwanzo lakini kutokana na ushauri wa watu mbalimbali na pia huyo mtu anaye dai yuko naye sijawahi kumwona wala hata kusikia wametoka wote. Mwisho wa siku nilikubariana naye.
Yani hivi sasa niko naye japo yeye usema mimi naye ni marafiki lakini mambo tunayo fanya ni zaidid ya rafiki.
Hanizuii kufanya lolote juu ya mwili wake.
Ninapo mhtaji yuko tayari kuja muda wowote mpaka watu wengi wanadhan yeye ni mpenzi wangu lakini yeye anadai mimi ni rafiki yake tu.
Kuna kipindi uwa naona huyu msichana may be ndo keshakubari kuwa na mimi lakini itatokea siku atamtaja huyo anayedai ni mtu wake sasa nashindwa elewa nifanyeje.
Niko naye hivi mwezi wa 8 sasa.
Yani nina maswali mengi yasiyo na majibu na mimi ndiyo nshampenda sana tena sana.
The ONLY way it works, is if BOTH people are happy with just that and no feelings. If one person has a little bit of feelings, its gonna go sideways.habari za asubuhi waugwana, siku za nyuma nliwahi kuandika kuhusu msichana flani ninaye mpenda lakini anadai ana mtu na akadai kama nataka tunaweza fanya mapenzi then tupotezeane kabisa.