Catherine
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 1,261
- 758
Hahahaha vumilia bwana lol....utacheka ufe ati....yaani dunia hii we acha tu dia!
ndio wazidi kunipa mshawasha... Ngoja nitulie, mambo mazuri hayataki haraka.
Hahahaha vumilia bwana lol....utacheka ufe ati....yaani dunia hii we acha tu dia!
Haha...wife nilipata mtu akanambia atanletea leo town ila kawa mteja mpaka kumi na moja ndo ananambia yuko posta na mm nlikua naenda kuangalia game...
Shemeji pole sana! Btw you just use your two eyes to look foward !
Uki'ptractice kila uagizwacho na wife , basi lazima ukipate!
Kuna siku utakuja kuagizwa Mwezi (Moon) uendenao hom!
Muulize dadio how stable i'am !
hahahahaha! Sasa shem Vin Diesel ashakuwa zigo la kuni. Hebu ongea na The secretary akutupe kwa bepari la mjini Bishanga. Hapo nahisi utakula magud tym kwa kijiko.
hahahaha, mie nimekusubiri sana ila hakijaharibika kitu, hata kesho pia shwari. Huyu shem langu la ukwehe Vin Diesel akuhudumii?. Bora urudi kwa nitonye au uende kwa The Boss (jina lake linanukia pesa).
Vin Diesel Asavali umekuja mwenyewe kujibu mashtaka ya kutohudumia mke...mh. ruttashobolwa naomba umpekifungu cha sheria kinachohusu 'wife neglect'.Weweweweeeeeeeee Catherine...huduma zangu ndio zinapima viwango vya ISO na TBS kwa taarifa yako...