Friends of Simba ndio kiini cha matatizo Simba

Friends of Simba ndio kiini cha matatizo Simba

MTAZAMO

Platinum Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
19,993
Reaction score
34,867
Wakuu,

Marafiki wa Simba ( Friends of Simba,) ndio wanaoimaliza Simba. Mfahamu hatutofanikiwa bila kuachana na hili kundi lote. Utulivu Yanga ni sababu timu kapewa GSM na hakuna anayeingilia hata lawama ikitokea ni rahisi kujua ziende wapi.

Kwasasa hao Friends of Simba wamepasuka na hatutaendelea hadi tuamue kuachana nao. Bahati mbaya hili kundi lina nguvu na hakuna wa kuwatoa labda mfumo uingilie kati.

Kwa ufupi tuvumilie matatizo hatuna cha kufanya labda tuisusie timu msimu mzima wenyewe wajirudi.

Hatuna tatizo la makocha wala wachezaji, huko kwenye utawala KUMEOZA!
 
Upo uwezekano baadae ikafanyikq kazi ya kushughulika na hili kundi sababu sasa wamegeuka tatizo kinyume na msingi wa kuwepo kwao kwenye mpira.
 
Hata kama, lakini timu ipo ipo tu. Wachezaji wengi wa 'kuokota'. Msimu huu usajili wa maana ni Kante, Rushine na Morice.!
 
Hata kama, lakini timu ipo ipo tu. Wachezaji wengi wa 'kuokota'. Msimu huu usajili wa maana ni Kante, Rushine na Morice.!
Hao wachezaji wameletwa na nani? Hata aje Gadiola bila mabadiliko ya kiuongozi HATUTOBOI! huku juu wanahujumiana. Marafiki wa Simba wamegawanyika na hakuna namna watasamehana zaidi ya wote kuachana nao tujipange upya.
 
Aliongea ukweli kocha Auusems na akaja kushindilia kocha fadlu ..aussems alisema wazi kua Simba itabaki hapo hapo ama kushuka chini zaidi kama hawatoondolewaa viiongozi wanafiki na vilaza...akaja fadlu akasema bila kua na uongozi imara na wenye ushirikiano wa kua na mlengo Mmoja basi hakuna mafanikio...wote walifukuzwa...ila makumanyazi viongozi wamebaki ...
Ila sasa hao makuma viongozi nawashangaa sana kama wanafanya fitna hivi sababu ya 10% Sasa Simba inaenda kupotea kwenye ramani ya soka Bado watakua wanapata hizo 10%
 
Mifumo tu ya taasisi ya Simba haiko sawa ndio maana haya yote yanatokea. Makundi kwenye taasisi hayakosekani lakini kukiwa na mifumo imara hakuna wa kuweza kusumbua
 
Back
Top Bottom