Friends for Life

mkuu io ya watoto nakuunga mkono lakini io ya bendera i am not so sure kama nakusapot
 
mkuu io ya watoto nakuunga mkono lakini io ya bendera i am not so sure kama nakusapot

Ungeijua vp chadema bila ccm, they've been friends and always will be.
 

Hawa ni mapacha, wanaonekana kuwa na afya na furaha sana. Nimewapendaaaaa, yaani tabasam lao limenifanya nitabasam pia as I was so gloomy today. Asante Mbuzi Mzee for brightening my day.
 
Last edited by a moderator:
ndo maana mwisho wa siku wapambe ndo hugombana wao thubutuuuuuuu.
 
Ha ha ha ha hahaaaaaa! Angalia tu usile ban na ugeni wako JF! Wenzio sie wazee humu. Ila sikutegemea hilo jibu! Ama kweli waswahili wa pemba.....! Lol!


We sister vipi? We Mjinga nini? (I mean siyo tusi, nayo kama ya Mkapa kule Arumeru Mashariki). Kama ni tusi unaniombea Ban, Mbona Wapinzani hawakumfungulia Mkapa kesi ya kuwatukana.

Pumbavu! (Kama ya Mkapa) . . . lol

Kwanza mgeni Kuku, ebo! Nina kamba miguuni mimi? Mjinga kabisa (Ya Mkapa)
 

Haki ya nani we mtoto labda nisikushike! Wala sihitaji kukuombea ban! Omba tu nisikutie mkononi! Labda ubadili mtaa.
 
what a comfortable life. Im remembering my childhood! Not so sure if I was exactly as they are but certainly was not far from them
 
Haki ya nani we mtoto labda nisikushike! Wala sihitaji kukuombea ban! Omba tu nisikutie mkononi! Labda ubadili mtaa.

Kwa kuwa nimekukataa Uchumba kwenye ule uzi wangu!

Mbumbavu! Ulikosa vigezo ati . . . haaaa haaaa (Jokes)
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…