Boflo ... mimi nashangaa watu wana-opt kuignore / delete?! ... wewe kwanza una-accept alafu unaanza kum-bombard na suggestions zako kwake juu ya nini unachoona hakiendi vizuri katika utawala wake.
Sasa usipo-accept friend request utapata wapi platform ya kumwambia yale yanayokuudhi? au unayotaka ayafanye/ anayokosea?!