Amini Mnyakulutanana
Member
- May 22, 2017
- 49
- 47
Yapuu ni kweli hata hivyo Yanga anashambuliwa sana hii singida mmh! Wako vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunamkumbuka sana yani.
Ndo kocha wako uyoHao Yanga bora wafungwe tu.
Yaani hilo minjino li LWANDAMINA silipendi kweli limekuja kutuletea mikosi tu pale jangwani
Singida 2 ngada fc 1
Usengiman, mwingine nimemsahau
Wamekutana na timu mbovuHawa singida wataleta ushindani msimu huu, wako vizuri