Kombe la Shirikisho Africa: Yanga yapata ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Welayta Dicha

Hazard CFC

JF-Expert Member
Apr 7, 2015
16,615
38,589
1" Goaaaal Raphael Daudi anaifungia Yanga goli la kwanza kwa kichwa

10" Yanga 1 -0 Welayta

30" Yanga bado wanaongoza kwa goli 1, timu zote zinacheza kwa tahadhari

45" Halftime sasa Yanga wanaongoza kwa goli 1-0

Kipindi cha pili kimeanza

54" Goaaal Emmanuel Martin anafunga goli la 2 kwa Yanga kwa kichwa

60" Yanga 1 - 0 Welayta

61" Mhilu anakosa goli la wazi baada ya kupiga kichwa nje akiwa kwenye nafasi nzuri ya kufunga

70" Vincent Dante upo chini ameumia, anapakizwa kwenye machela

74" Yanga wanafanya mabadiliko anatoka Dante anaingia Nadir Haroub

76" Yanga wanafanya mabadiliko mengine anatoka Kamusoko anaingia Pato

78" Hatari katika lango la Yanga lakini golikipa Rostand anaokoa na kuwa kona, kona inapigwa ila Yanga wanaokoa

80" Yanga bado wanaongoza kwa magoli 2-0 dhidi ya Welayta

90" Ninja ana,fanyia madhambi mshambuliaji wa Welayta katika eneo la hatari, Welayta wanapiga mpira adhabu unatoka nje

90" Dakika 2 zimeongezwa

Mpira umekwisha
; Yanga 2-0 Welayta Ditcha


================

KIKOSI CHA YANGA SC HII LEO DHIDI YA WELAYTA DICHA.

1.Youthe Rostand
2.Hassan Kessy
3.Mwinyi Haji
4.Abdallah Shaibu "Ninja"
5.Andrew Vicent
6.Thaban Kamusoko
7.Yusuf Mhilu
8.Rafael Daudi
9.Pius Buswita
10.Ibrahim Ajib
11.Emmanuel Martin

AKIBA.
-Ramadhan Kabwili
-Juma Abdul
-Nadir Haroub
-Pato Ngonyani
-Juma Mahadhi
-Yohana Nkomola
-Geoffrey Mwashiuya

-Mchezo wa Mkondo wa Kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika Klabu ya Yanga SC Itaikalibisha Welayta Dicha kutoka Ethiopia Saa 10.00 katika Uwanja wa Taifa.

-Donald Ngoma Kaumia Mazoezini wakati wa Kujiandaa na Mchezo huu, Obrey Chirwa, Papy Tshishimbi,Said Makapu na Kelvin Yondani wamezuiliwa Mchezo huu Baada ya kuwa na Kadi Mbili za Njano huku Gadiel Michael Taarifa yake itakuja hivi Punde.
 
Back
Top Bottom