INAUZWA Fridge, sofa, meza ya chakula na kabati la vyombo vinauzwa

Kwema wakuu,

Ninauza vitu vyangu vya ndani kama ifuatavyo:
Kabati la vyombo 4"kwa 5" mbao mninga 500,000tzs
Dining table na viti vyake 200,000tzs
Sofa la watu 5 L shape 500,000 tzs
Fridge 280,000tzs
Unaweza kulipa kwa awamu kama utachukua zaidi ya kitu kimoja.

Kwa maelewano na picha, ni pm.

Napatikana Mbezi, Dsm.
100 itapendeza zaidi
 
Unauza hewa siyo????? Ww biashara matangazo huweki picha sasa tutanunua vipi au unauza mbuzi ktk gunia
 
.hii post sio ya kushawishi mtu yeyote,,ni kwa watu wenye uhitaji..
kama huna uhitaji pita kushoto..
Povu ruksa..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom