Teknolojia imesogea sana hilo jokofu linaonekana ni la 1990s mwishoni au 2000s mwanzoni kumuuzia mtu 850K ni uwongo.
Mimi ninayo Hisence model 2011 nililinunua 2013 nimeliweka mnada kwa fundi nataka 300K tu lakini wateja wanalitolea mbavuni wakiisikia hiyo offer hata kupatana hawataki na lipo vizuri sana kimuonekano.
Ushauri:rekebisha hiyo bei.