Gas imeisha. So tafuta Fundi mwambie ajaze gas. Pia atapaka mafuta kwenye waya ya kupunguza joto.Habari wanaJF wote, natumai hamjambo!
Fridge hapa nyumbani linapiga shock ukiligusa, shida yaweza kuwa nini?
Ndio nitaita fundi , lakini ningependa kupata maoni kutoka kwenu!
Natanguliza shukrani....
Habari wanaJF wote, natumai hamjambo!
Fridge hapa nyumbani linapiga shock ukiligusa, shida yaweza kuwa nini?
Ndio nitaita fundi , lakini ningependa kupata maoni kutoka kwenu!
Natanguliza shukrani....
Earthing system haiko sawa
Ndo hayo mafriji tuyaokota huku ulaya majalalani na kuwatumia.Habari wanaJF wote, natumai hamjambo!
Fridge hapa nyumbani linapiga shock ukiligusa, shida yaweza kuwa nini?
Ndio nitaita fundi , lakini ningependa kupata maoni kutoka kwenu!
Natanguliza shukrani....
Jana alikuja fundi, tukachek hakuna shida kwenye earthing, sema alisema ninapohandle electric appliances nisipende kuwa barefoot na nisiwe na wet hands..... sasa sijui n kwel au ni assumptions zake.Yaweza kuwa lolote katika wire zote 3 zile.
Fikiria kama Live au Neutral ziimelegea na popote zinagusa Earth kwenye fridge au popote nje kwenye wiring system ambako fridge hilo pia limefungwa.
Bottom line: "Kila wire uwe firmly kwake."
NB: Ukweli huu hauwezi kuwa kwa watoto wa mama wa aina ya akina Lukasi.
Huo ndiyo ulio ukweli mchungu.
Jana alikuja fundi, tukachek hakuna shida kwenye earthing, sema alisema ninapohandle electric appliances nisipende kuwa barefoot na nisiwe na wet hands..... sasa sijui n kwel au ni assumptions zake.
Inawezekana earthing wire iko loseHabari wanaJF wote, natumai hamjambo!
Fridge hapa nyumbani linapiga shock ukiligusa, shida yaweza kuwa nini?
Ndio nitaita fundi , lakini ningependa kupata maoni kutoka kwenu!
Natanguliza shukrani....
Alichek vyote... je wewe unakubaliana na hayo ya wet hands aliyoyasema.?Ufundi ni relative. Si ajabu Kwa kila Harry, Tom na Jerry kujiita mafundi.
Fundi kwa tatizo ulilosema hapa hakupaswa kuishia na kuangalia fridge tu. Zingatia maelezo yale ni thabiti:
Yaweza kuwa lolote katika wire zote 3 zile.
Fikiria kama Live au Neutral zimelegea na popote zinagusa Earth kwenye fridge au popote nje kwenye wiring system ambako fridge hilo pia limefungwa.
Alichek vyote... je wewe unakubaliana na hayo ya wet hands aliyoyasema.?
Mkuu nashukur sana nimepata elimu hapa....1. Kucheki vyote hadi earth rode? Ninaamini haku cheki vyote.
2. Bottom line kifaa chochote cha umeme kinapaswa kuwa baridi 100%.
3. Hapo #2, kwa maana kamili ya kuwa zero shock no matter what.
4. Hayo ya wet hands na labda hata kuvaa kandambili, gloves nk; ni tafadhali za ziada tu zisiz