The Industry
Senior Member
- Sep 1, 2012
- 114
- 30
Fridge aina ya LG inauzwa pamoja na fridge guard yake bei ni laki 4.5 bado mpya kabisa.
Tangazo lako halionyeshi mahali inapopatikana bidhaaFridge aina ya LG inauzwa pamoja na fridge guard yake bei ni laki 4.5 bado mpya kabisa. View attachment 1093363
Bidhaa ipo Dar es salaam, maeneo ya Bunju B.Tangazo lako halionyeshi mahali inapopatikana bidhaa
Ungenipa hiyo tenda nikufanyie kazi kwa jinsi ulivyotangaza utaambiwa laki moja na nusu.
Istoshe ndani ina kutu maana hujaweka kapicha ka ndani yake
Kama unajua rangi za kupiga ungekuwa umeshagundua hiyo ni rangi yake original mkuu picha za ndani ntazirusha soonUngepiga picha na ndani tuone kama bado nzima, nje unaweza kuipiga hata rangi
Picha ni ya tarehe 18/4
Tunaomba ya leoTarehe sio ishu mkuu, nilipiga picha bt nikatulia kwanza niangalie mishe zangu zinaendaje then ndio niiweke sokoni.
Dah unaua sana mkuu, ongeza 180 ntakupa bila fridge guard.Chukua 2mkuu
Siuzi fridge guard peke yake.Fridge guard peke yake unauza bei gani??
Nichek 0621047801Kwanini hamuweki contact number zenu
Nichek kwenye namba hii mkuu tufanye bzness 0621047801Chukua 330 kaka km uko tayar