Fridge aina ya LG inauzwa pamoja na fridge guard yake

The Industry

Senior Member
Sep 1, 2012
111
26
Fridge aina ya LG inauzwa pamoja na fridge guard yake bei ni laki 4.5 bado mpya kabisa.
IMG_20190418_093611.jpeg
 
Ungenipa hiyo tenda nikufanyie kazi kwa jinsi ulivyotangaza utaambiwa laki moja na nusu.

Istoshe ndani ina kutu maana hujaweka kapicha ka ndani yake
 
Ungepiga picha na ndani tuone kama bado nzima, nje unaweza kuipiga hata rangi
 
Ambaye yako serious anaweza kuja kuiona na uhakika na hii mali haina tatizo lolote
Ungenipa hiyo tenda nikufanyie kazi kwa jinsi ulivyotangaza utaambiwa laki moja na nusu.

Istoshe ndani ina kutu maana hujaweka kapicha ka ndani yake
 
Mkuu The Industry, huu mzigo bado upo?! Kama bado upo, mimi ni serious buyer lakini ningependa kufahamu machache kama vile uwezo wake wa kugandisha na energy consumption.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom