Kwamba huyo Seran anapenda kula hivyo vyakula kama watoto wadogo auSeran una lolote la kutuambia? Its your day! Jiachie
Nawe mpenzi msomaji karibu ujumuike kwenye hili vibe!
NB: Hakuna kukerana hapa! Tupo kwa ajili ya chitchat na furaha yetu sote..
Don't cross the red line please..! You will be punished accordingly!View attachment 3585674View attachment 3585675
Mkuu wewe nakufananisha na Super power USA, kiufupi vita haipiganwi aridhini kwako😎Seran una lolote la kutuambia? Its your day! Jiachie
Nawe mpenzi msomaji karibu ujumuike kwenye hili vibe!
NB: Hakuna kukerana hapa! Tupo kwa ajili ya chitchat na furaha yetu sote..
Don't cross the red line please..! You will be punished accordingly!View attachment 3585674View attachment 3585675
Ngoja aje atueleze kama kweli hicho ndo kielelezo cha amani yake😌Hahahaha hapana.. Hicho ni kiwakilishi cha amani
Mbona unanitukana kiongozi 🧐
Hivi ni vitisho tu mkuu....Don't cross the red line please..! You will be punished accordingly!