I issa mweusi88 Member Joined Jun 23, 2015 Posts 7 Reaction score 0 Jun 26, 2015 #1 Leo imetulia hakuna wadada wa kukaa uchi nimependa aisee.......napenda siku zote hiwe hivyo
Luvanga1 JF-Expert Member Joined Jun 5, 2014 Posts 2,025 Reaction score 1,708 Jun 27, 2015 #2 hainog hata
Public Enemy JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 3,062 Reaction score 3,620 Jun 27, 2015 #3 Hivi hujui kuwa hao wadada ndio sumaku ya watizamaji? Basi leo itakua watu wengi hawajaangalia kwakweli.
Hivi hujui kuwa hao wadada ndio sumaku ya watizamaji? Basi leo itakua watu wengi hawajaangalia kwakweli.