Here we go again! Same old story na stori nyingi ni za kutunga kwa kupanga rai wajibu administration ilicho wapangia wajibu, ndio maana stori zinafanana fanana wanacho badirisha ni majina tu - mtu ukiwa muongo basi kumbuka ulicho sema jana, mbinu za kutofanya watu wasiwashitukie kwa uongo wao hawana kabisa ndio maani ni rahisi kuwabaini huitaji elimu ya juu kuwa corner na adithi zao za kuchonga, stori zao unikumbusha Novel za James Hadley Chase nilizo kuwa nazisoma nikiwa O -Level.
Taifa gani ambalo liko so obsessed kwa ku blame everybody save themselves- lawana kwa France, Belgium and all well to do Hutus (Specifically Doctors, Engineers,Professors,Businessmen); some Churches, Priests, Nuns and what have you wote hao wanahusishwa na genocide - mwishowe na mimi nta ambiwa ni sympathizer ndio walivyo hawataki kuambiwa ukweli!!
Master Mchambawima - Why are you conveniently avoiding to tell an International Community what triggered mass killing in the first place, who gave you a pair of shoulder fired heat seeking missiles that brew up a Presidential jet, what role did William Clinton and CIA play when they knew the jet will be flying at night from Dar to Kigari - who advised RPF commander and some American sodiers of fortune in your group/platoon to do something ingawa PK mwanzo alikuwa ahafiki na mpango huo - who pushed him so hard, why are William Clinton and PK so close to thisday - these are but a few burning questions that you Mr. Encyclopedia Rwandanica should give us a befitting answer, mark you - no buts allowed herein, si mnatufanya watu wajinga kilahumu lahumu kila mtu kumbe chanzo cha matatizo yote ni nyinyi wenyewe.
Habyarimana si alisha kubari mgawane madaraka kwa njia za kistaarabu nyinyi mkaona atawachelewesha ngoja mumuwahi mapema, mkatungua ndege yake akafa kinyama yeye ni marais wawili na marubani wa Kifaransa na wafanyakazi wa ndege ambao wote walikuwa ni Wafaransa!!
Leo Ufaransa ikiwageuzi kibao mtakuwa wageni wa nani, mnajitia kuikoromea Ufaransa na kuwasingizia vitu chungu mzima, mnajifanya kusahau Wafaransa walivyo mchachafya Gaddafi ndani ya masaa kwa kutumia Dassault Rafale, Ufaransa ikihamua ku deal na nchi ndogo kama Rwanda utatuma bomber moja ya aina ya Super Entedard wala hata angahika sana - punguzeni lawana zenu kwa Wafaransa na wao wana madai mengi tu kutoka kwenu, msione wamenyamaza mkafikiri ni wajinga.
Nawaulizeni tena kwa nini suala la kuua a democratically elected President na kupindua Serikali yake halali uwa hamlisemi kabisa, si hilo tu mko vile vile illy convinced kwamba kitendo hicho cha ukatiri kilikuwa ni sahihi kabisa. Masaa yote mnatangaza ubaya na ushetani wa Wahutu, yakwenu mko kimya!! Dunia itakuwa inasikiliza your side of story mpaka lini?