Wanasema ukiona nyani mzee ujue kakwepa mishale mingi..........uzoefu ni kitu muhimu sana mwache aingie darasani watu watashinda kiulaini kwa uzoefu tu!

Hahahahahahah ushindi wa kiulaini kabisa na huku BOSS akiomba next time iwe ngoma aliyoizoea zaidi ya mduara na siyo mdumange tena maana kishapigwa mueleka na hatapenda kupigwa mueleka mwingine....LOL!

Annina MaBOSS huwa hawakubali kushindwa na mara nyingi hutaka kuonyesha uBOSS wao hivyo BOSS huyu sidhani kama atakutimulia vumbi. Usije kunyoosha mikono juu tu na kumpa ushindi kiulani na hatimaye akaamua kukupa promotion ya kuwa 1st lady wa BOSS hahahahahah