Fremu Zinapangishwa

Fremu Zinapangishwa

kijayne

New Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
1
Reaction score
0
Ziko Mikocheni a karibu na TMJ sq 38 na sq 18 barabarani kabisa piga 0719428988
 
ziko mikocheni a karibu na tmj sq 38 na sq 18 barabarani kabisa piga 0719428988

Hivyo vipimo ni sqm au sqf? Hiyo ya 38sqm inaanzia bei gani? anapokea miezi 6 au mwaka? finnishing ikoje ndani?
 
weka bei na vipimo kamili, square metre au? pi anapokea miezi mingapi? ziko upande gani zimetazama barabara ya mikocheni au huko nyuma chama?
 
Back
Top Bottom