Fremu ya biashara inapangishwa

Mbwambo

JF-Expert Member
Nov 25, 2008
625
93
Ipo maeneo karibu na njia panda ya kwenda tcc club. Inatazama barabara ya changombe- temeke
ukubwa wake ni futi 7 kwa 9, ina mlango wa ku slide na floor tiles safi
bei yake ni tshs. 80,000/=
wasiliana na 0713 68 96 65
 
Back
Top Bottom