HABARI ZA SIKU NYINGI WANAJUKWAA
HERI YA MWAKA MPYA
Kuna Fremu Nzuri huwa naziona pale kwenye lile jengola YMCA na muda mrefu zimefungwa hivi zinamilikiwa na nani
na hivi unaweza pata zile fremu kweli???
Huwa nazitamani sana zile, wale wahudumu pale ukiwauliza utadhani unafaidi hawakupi jibu linaloeleweka kabisa. Mwenye taarifa nzuri ya hizi fremu aniambie, nani mmiliki nawezaje pata, yaani taarifa tu, au umwone nani atakupa jibu zuri etc
KUULIZA SIO UJINGA .
YMCA/WYCA ni vyama vya kikristo vya vijana wa kike na kiume, ni muungano wa msdhehebu ya Anglican, Catholic, Lutheran ns mengineyo, ndio maana nimekuambia uende sehemu hizo wanaweza kukupa ufafanuzi dada Nivea
ymca/wyca ni vyama vya kikristo vya vijana wa kike na kiume, ni muungano wa msdhehebu ya anglican, catholic, lutheran ns mengineyo, ndio maana nimekuambia uende sehemu hizo wanaweza kukupa ufafanuzi dada nivea