Idrissou02
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 356
- 659
Koo
Mbona kodi rafiki tu hizo boss,inategemea na biashara unayotaka weka pesa yako inarudi.
Sawa nitaweka ivi karibuni...Weka picha mkuu itakuwa poa sana!
Kuna ya laki 5 pia. Nicheki kwenye namba yangu if interested.Hamna ya bei ya chini yake
Mbona kodi rafiki tu hizo boss,inategemea na biashara unayotaka weka pesa yako inarudi.