Frem ya biashara Mwanza

Frem ya biashara Mwanza

Bac3

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2016
Posts
392
Reaction score
437
kwa yule mwenye uhitaji wa frem ya biashara ipo nyingine hapa mwanza mjini kati.. KUBWA KUBWA na iko barabaran

** iko prime area
** main road ( barabara kuu)
** mjini kati



biashara iliyopo ni nzuri,, kipato chake ( faida ) kwa mwezi ni kuanzia milioni 2.5 hadi 3.5

ina biashara tayari

kodi imebaki miezi 6 kasoro

BEI YA KUCHUKUA HII FREM NA BIASHARA YAKE NI 17.5M

hiyo bei ni moja kwa moja na kodi yake...ila mkatana ukiisha baada aa hiyo miezi sita kasoro utaendelea kulipa kodi kama kawaida kwa mwenye nyumba

kwa mwenye uhitaji wa haraka nitafute whatsapp 0744597493

nitafute whatsapp nikutumie videos za hiyo frem

au kama unaweza kufika nitafute nikupe videos then nikuelekeze ukague mwenyewe
 
Hauko serious na hiyo biashara
usijari Mkuu..
ambae yuko serious ashanitafuta via whatsapp...kama hauko serious ishia tu hapa hapa mkuu kiroho safi.....siwezi post hapa sababu ya privacy za wateja zangu..maana video zote zimejaa wateja...ndo hayo tu
 
Back
Top Bottom