Frem ya biashara inahitajika

Frem ya biashara inahitajika

magesa77

Senior Member
Joined
May 22, 2011
Posts
123
Reaction score
15
Nahitaji Frem kwa ajili ya biashara hapa Dar es Salaam. Iwe kati ya maeneo ya Mbezi - Tangi Mbovu mpaka Africana. Mwenye nayo tafadhali afunguke tufanye biashara. Asante!
 
Nahitaji Frem kwa ajili ya biashara hapa Dar es Salaam. Iwe kati ya maeneo ya Mbezi - Tangi Mbovu mpaka Africana. Mwenye nayo tafadhali afunguke tufanye biashara. Asante!
Ipo tegeta darajani hapa barabarani karibu na kituo...karibu
 
Weka bei ndugu, toa na namba yako kwa mawasiliano ili tuweze kuvisit eneo husika!
 
Back
Top Bottom