#FreeMboweAndEstherMatiko... anyone?

bwana everist hiv kwa nini usianzishe course online ya ujasusi na uachane na hawa wanaharakati uchwara akina salary slip ambao hawatoi ushauri nini kifanyike kuyazuia haya maagizo kutoka juu kufanya kazi
Ana ujasusi gani acha kumpa kik
Ushawahi kuona wapi jasusi kigeugeu

Ova
 
Moja ya mafanikio ya awamu hii ni kununua critics wake kwa 90%.
 
Kila mtu anabeba msalaba wake kama jinsi wewe ulivyozamia huko. Kama jasiri rudi uungane nasi kufanya hicho unacho shauri ni pomoja na kuwashawishi wapiga kura kuchagua Serikali ya viongozi wenye mapenzi na nchi yao siyo matumbo yao.
 
Siku hizi huyu Salary Slip amekuwa na hasira kweli kweli. Sio yule tena. Ukimgusa kidogo tu anakuangushia matusi mazito, ha ha ha.
Jamaa kweli jazba zimezidi, maisha. Kwenye siasa wamekuwa kama Kenge aliyekabwa na yai la kuchemsha. 2015 walitupiwa moja (Mamvi). Mida hii wajanja wa kijani wanawachemshia lingine ( linaitwa Mango). Full kuumizana na mwenyekiti wamemsahau.
 

Lete mrejesho kwanza ile petition yako kule UN dhidi ya Jiwe iliishia wapi?, yale uliyoyaandikia petition kuyapinga yanaendelea kufanyika sasa badala ya kuwaconsole victims wewe unaanza kulaumu, au wewe unadhani Mbowe kuonewa kunawahusu Chadema tu?. Wewe kama Mtanzania na wewe una wajibu wa kusimamia na kutetea haki maana dhulma haiwaathiri Chadema peke yao bali taifa zima. Ina maana enzi hizo ulipokuwa usalama wa Taifa kabla hujatimuliwa hukufundishwa maslahi ya Taifa na maslahi binafsi ya kikundi ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…