kilwakivinje JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 6,234 Reaction score 9,505 Mar 7, 2017 #23 Mkuu umetunga hadithi nzuri sana
zulushaka JF-Expert Member Joined Feb 5, 2017 Posts 372 Reaction score 299 Mar 8, 2017 #24 kilwakivinje said: Mkuu umetunga hadithi nzuri sana Click to expand... Hakuna utunzi hapo, JE wewe unao ukweli utupatie?? Kuna mengi sana juu ya hawa watu, nikipata muda nitakupa darasa japo KWA uchache labda unaweza ukapata ka mwanga Fulani.
kilwakivinje said: Mkuu umetunga hadithi nzuri sana Click to expand... Hakuna utunzi hapo, JE wewe unao ukweli utupatie?? Kuna mengi sana juu ya hawa watu, nikipata muda nitakupa darasa japo KWA uchache labda unaweza ukapata ka mwanga Fulani.
kauzu12 JF-Expert Member Joined Nov 11, 2016 Posts 868 Reaction score 785 Mar 8, 2017 #25 Mtoa mada wengi watakupinga lakini ndio ukweli huo. Asante sana mkuu ubalikiwe.
Lusematic JF-Expert Member Joined Feb 2, 2017 Posts 12,051 Reaction score 11,839 Mar 8, 2017 #26 kirusi cha ukimwi said: Kama nahisi kuna ka ukweli hapa Click to expand... huo ndyo ukwel vyote vishaandikwa..
kirusi cha ukimwi said: Kama nahisi kuna ka ukweli hapa Click to expand... huo ndyo ukwel vyote vishaandikwa..
Nyakageni JF-Expert Member Joined Feb 1, 2011 Posts 15,044 Reaction score 5,114 Mar 8, 2017 #27 Shilatu bure kabisaaaa
StraTon MemPhis GhaZar JF-Expert Member Joined Nov 10, 2016 Posts 592 Reaction score 390 Mar 8, 2017 #28 Kazi kweli kweli.... tutanyooka tu
D Dididi Member Joined Feb 22, 2017 Posts 6 Reaction score 1 Mar 13, 2017 #29 Ninachokiona hapa ni mapambano kati ya wakatoliki na wasabato, lakini hawa wote wanaamini katika Msalaba
Ninachokiona hapa ni mapambano kati ya wakatoliki na wasabato, lakini hawa wote wanaamini katika Msalaba