Freemasonry Wametushika kila kona

Jamani naomba tujifunze kusoma Biblia na kuitafakari kwa kadri ya kusudio la Mwandishi, Lugha iliyotumika, Mazingira ya Waandikiwa, Tamaduni zao na sababu za kuandikiwa. Ukijua haya yote utajua namba 666 ilimuhusu nani.
 
inahitajia hekima kwani watu wanaangamia kwa kukosa maarifa na heikima.
 
Haina shida, tutakula vya kufsha lakn hatuta kufa. Waendelee kuvumbua nasi tuko tayari kula,wa iman hula vyote.
 
Kwanini hukujulimshia na special characters kama "," "!" "?". Ukaamua kuchukua namba na herufi tu wakati zote zinatumika sambamba?
 
Hivi wakubwa naombeni kuuliza kukosa maarifa mfano wake si nd'o kama wa huyu jamaa?!
Hii kali ya mwaka, hivi unajua football ilianza na waamuzi wangapi?
 
Kwanini hukujulimshia na special characters kama "," "!" "?". Ukaamua kuchukua namba na herufi tu wakati zote zinatumika sambamba?

Mkuu hata Mimi nilikokopi hii taarifa imeandikwa kama nilivyowasilisha hapa ukiniuliza maswali mengi sina majibu labda kama una ushauri uweke hapa tutaupokea.
 
Hivi wakubwa naombeni kuuliza kukosa maarifa mfano wake si nd'o kama wa huyu jamaa?!
Hii kali ya mwaka, hivi unajua football ilianza na waamuzi wangapi?

Mkuu ni bora ukatujulisha. Sio zambi ukituelimisha. Ukimwacha mjinga aendelee na ujinga wake wewe mwerevu unakuwa mjinga zaidi ya mjinga.
 
Mkuu ni bora ukatujulisha. Sio zambi ukituelimisha. Ukimwacha mjinga aendelee na ujinga wake wewe mwerevu unakuwa mjinga zaidi ya mjinga.

Mkubwa anayeuliza anataka kujua, ila we hukua na shida ya kujua nd'o mana ukaja na h0ja hzo!! Anyway kwa kifupi tu mpira ulianza na refa mmoja...
 
HII www kuwa 666 kvp mkuu?
 
Mwaga elimu hapa hapa tujue kabisa
Jamani naomba tujifunze kusoma Biblia na kuitafakari kwa kadri ya kusudio la Mwandishi, Lugha iliyotumika, Mazingira ya Waandikiwa, Tamaduni zao na sababu za kuandikiwa. Ukijua haya yote utajua namba 666 ilimuhusu nani.
 
Tatizo la sisi ni wavivu wakufikiri ndo mana watu wengi wa nchi yetu tunapotea kwakukosa maarifa freemason haina nguvu kias chakulishinda jina la yesu na wote wanaoogopa nakutunga hadithi za freemasons ni watu wasiojitambua au wanajitambua ila hawana ajira wanatafuta fursa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…