Freemasonry Wametushika kila kona

Sihitaji akili yangu ipimwe na mtu yeyote....!!!

Unadhani akili za Wasabato zilivyo shikiliwa na mwana mama Hellena White wako sawa...!!!??

thibitisha akili inapimwa na watu

tuachane na wasabato wewe binafsi hoja yako ikwapi?

toa sababu moja tu kwamba hawako sawa
 
nawafamu na nafahamu

Kama unawafahamu na unajua Great Disappointment ilivyotea na jinsi wakina Miller na Bates walivyoua mamilioni ya Wasabato basi utagundua kuwa Wasabato wengi bado hawajakoma...

Bado mnaendeleza ule ujinga wa Kina Miller, Bates na Mama White wa kutabiri maono ya kuzimu.....
 

bible ndo inatabiri
 
thibitisha akili inapimwa na watu

tuachane na wasabato wewe binafsi hoja yako ikwapi?

toa sababu moja tu kwamba hawako sawa

Hoja kuhusu nini...??? Kuna hoja gani kwa mbumbumbu aliyeshindwa hata kujua kuwa tunatumia Mifumo miwili ya majira kusoma nyakati...??

Hata mtoto wa darasa la saba anaelewa hili....Kama unataka kuona hoja niliyotoa rudi page 1 utanisoma....

Ila kama akili yako imeshikwa na mafundisho ya mama White hutaelewa....

Siwezi kuwaacha Wasabato maana haya mambo wanayapenda sana....

Ukitaka kujua Wasabato hawako sawa kasome Hostoria yenu uanzie kina Miller na wenzake, Soma Millerites movement, soma kina Josrph Bates na wenzake njoo malizia na Mama White ndo utaona uozo na maono ya kuzimu ya Wasabato....
 
[h=3]Leo nilikuwa nasoma mtandaoni juu ya kupitishwa kwa mswada wa Afya wa Rais Obama wa USA kuwa sheria ikanilazimu kusoma tena Ufunuo 13: 15 – 18 ili kuona kama unabii wa huo wa Yohana ndiyo huu wa sasa USA?. Hebu soma kwanza habari yenyewe nimejaribu kuitafsiri hapa kama ifuatavyo;[/h] [h=3]“Namba 666 = ni alama ya MPINGA KRISTO (Soma Ufunuo wa Yohana). Bunge la Marekani limepitisha Mpango wa Afya wa rais Obama kuwa sheria. Utekelezaji wake utaanza tarehe 23/03/ 2013. Sheria hii itahitaji Wamarekani wote kupandikizwa Kifaa cha mawimbi ya redio (Radio Frequency Identification (RFID) chip) ili kunufaika na mpango huu wa afya na kupata dawa. Kifaa hicho kitawekwa kwenye paji la uso au kwenye mkono na kitaunganishwa na akaunti za benki za raia mhusika.”[/h] [h=3]Jambo hili kwa [maoni yangu] linatimiza unabii uliomo katika kitabu cha Ufunuo 13:15-18 kuhusiana na ALAMA YA MNYAMA! Mwenzangu bado unatilia mashaka juu ya NYAKATI ZA MWISHO? KAA TAYARI! Wakati wa mavuno u karibu sana! Ufunuo 13 nadhani umeanza kuonekana wazi mbele yetu [Marekani si mbali]. Ingawa nadhani wengi hatujapata habari hizi na hata zitakapokuja rasmi pengine hatutajishughulisha kujiuliza maswali haya;[/h] [h=3]1. Kwa nini hiki kifaa kiwekwe kwenye maeneo yaleyale ya mwili ambayo Biblia imeonyesha kupitia Ufunuo. Kwa nini kifaa kiwekwe kwenye paji la uso au mkononi na siyo mahali pengine?[/h] [h=3]2. Kwa nini kifaa hicho cha mawimbi kiunganishwe na akaunti yako ya benki? Kumbuka Biblia inasema hautanunua wala kuuza bila kuwa na alama hiyo ya mnyama [asomaye na afahamu]. Na hebu fikiria kwa nini hicho kifaa kiwe na taarifa zako za fedha. Kinachoniumiza moyo ni kuwa watu wengi ndani ya makanisa wanadhani zile nyakati zingali bado sana na Yesu akija sasa wengi wetu tutaangamia? Najua wengi hapa tutasema ni maendeleo ya kiteknolojia lakini si vibaya tukihusisha na maandiko kisha tukajitathmini Je! Sisi tuko wapi leo[/h]
 
Last edited by a moderator:
Hii dunia ukiingia kwenye vichwa vya huu uzushi,hata hela utakuwa hutaki kuzishika
 
bible ndo inatabiri

Unajua hata mwaka ule 1843 Kina Miller na wenzake walikuwa wanatumia Biblia.....Au hilo hulijui....

Kasome Great Disappointment ndo utajua ujinga wa Wasabato ulipoanzisha....

Eti ulishaona wapi eti mtu anapata maono mwisho wa Dunia ni mwaka 1843 halafu huo mwisho haitokei....Baada ya hapo Mama White anapata maono ya kuzimu tena na kuwapooza Wasabato waliovunjika moyo na kutokurudi kwa Yesu na Kusema eti Yesu alikuwa anatoka Patakatifu kulelekea Patakatifu pa Patakatifu....

Ukiangalia kwa makini utaona bado Wasabato wa leo hawajakoma....Mbaya zaidi mazuzu wa kisabato wa Africa sana sana hapa TZ ndo hasara tupu..
 

Are you SDA...???

Unapo copy na Ku-paste jaribu ku-edit angalau...

Umesema umesoma kupitia mtandao eti "mpango huo utaanza 23/03/2013"....
Utaanza au ulianza....???

Umbumbumbu ni kitu kibaya sans..
 
Na wewe ni zuzu tuu....Unajifanya "Tuanzie hapa" lakini ni mtupu kwenye kichwa chako....

Hivi kwanini Wasabato wanapenda habari za Freemason...??? Hivi na wewe ni Msabato Masalia(Mjukuu wa mama Hellena Mweupe)..?

huyo jamaa atakuwa msabato.. hao ndio waliowakuza freemasonry na kuwapa jina kubwa kwa conspiracy theory zao.
 
Are you SDA...???

Unapo copy na Ku-paste jaribu ku-edit angalau...

Umesema umesoma kupitia mtandao eti "mpango huo utaanza 23/03/2013"....
Utaanza au ulianza....???

Umbumbumbu ni kitu kibaya sans..

mkuu unanifurahisha sana unavyoenda sawa na hawa masalia
 
mkuu unanifurahisha sana unavyoenda sawa na hawa masalia

Mkuu ukisoma historia ya Wasabato utajua kuwa hawa watu waliharibiwa bongo zao tangu siku nyingi....

Wanasikitisha sana....Angalia watu wanao support huu ujinga wa mleta mada ni kina nani...!! Yani kwa kuwasoma utawajua tuu..
 
Majini makabila yao ni 666...hata walipoanzisha bar-coded reader ilikua kwa makampuni yote yanayomilikiwa na free mason lazima katika bar coded reader ya productz zao utakuta nambari 6-6-6 japo kua hazitaongozana lakini lazima ukute 6 tatu...Hata kofia ya kiongozi wa Katolic imetengenezwa katika muundo wa kupata Muingiliano wa pendeza ya Israil ambayo ndani yake unapat corner sita 666...kwa sababu katholic charch ni kanisa linaloongozwa na freemason...Muniwie radhi wakatolic ila huu ukweli ndo namna ulivyo.....http://littleguyintheeye.files.wordpress.com/2010/01/pope-hex-hat.jpg
https://www.google.co.tz/search?q=6...ot.com%2F2014%2F03%2Fpope-post-8.html;373;288
 

Aisee....Wasabato bana!!!
 

freemasons unawajua??
 
Nilikuwa kijiweni muda mfupi uliopita nacheza mchezo wa Draft....Sasa niwaulize wanajamvi kuna ukweli wowote hapa? Je nikweli Freemasons walivuruga saa makusudi? Je kuna ubaya kutumia 24hrs system?.

Ukweli ni kwamba huyo jamaa yenu ama ni mjinga au kawaona nyie wajinga! Hizo habari za kwenye vijiwe vya draft uwe unaziacha huko huko, ni za kupotezea wakati tu!

BTW kwa nini usi-google habari za masons ukajua historia yake from credible sources?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…