Freemason Bongo

Freemason Bongo

Mti wa Chuma

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2015
Posts
331
Reaction score
99
Habari yako msomaji na mpenzi wa jamiiforum.
Siku hizi kuna jambo limeuka sana hapa nchini kwetu. Watu wamekuwa wakisema sana kuhusu freemason pia baadhi ya maeneo kuna mabango ambayo mtu akitaka kujiunga anawapigia simu.
Nijuavyo mimi hawa jamaa freemason yaani wajenzi huru ni wasiri sana.
Karibu tujadili kwa pamoja jf mahali jamii wanapokutana. Kwanini hawa jamaa ni wasiri sana? je, dunia itakuja kuwa na falme moja chini ya New World Order?
 
Waongo na vitangazo vyao. Freemasons hakuna matangazo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom