Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,794
- 287,768
huyo kamanda si wa kununuliwaIla mtoa mada nawe usije saliti Watanzania kwa hoja hizi utashangaa cruiser zinaanza kupaki mbele ya Nyumba yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
huyo kamanda si wa kununuliwaIla mtoa mada nawe usije saliti Watanzania kwa hoja hizi utashangaa cruiser zinaanza kupaki mbele ya Nyumba yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na Manchester utd inamilikiwa na Nani?Chadema inamilikiwa na Mbowe na Halima Mdee by Mwita Waitara!
Agiza Jack Daniel nakuja kulipa. Mwambie na kumhakikishia jamaa kuwa wengine njaa hazijawahi kutuondoa katika uanaume wetu.huyo kamanda si wa kununuliwa
Kama CCM ilivyompika Lowassa akaja chadema mkamkabidhi na chama kabisa pamoja na ugombea magogoni!Mleta Post popote ulipo Mwanza hebu anza kupata Balimi baridiiii nitalipa. Umeandika vyema sana. Wanasiasa wanaotoka CHADEMA kuja CCM ni wanasiasa waliopikwa na Mbowe wakapikika. Ndio maana wakija huko ni uteuzi tu hakuna cha mchujo wala nini. Ukiona kazi imetangazwa wakaaply wengi na wewe ukaipata bila hata ya kufanyiwa interview, basi wewe ni mtu kiboko
Itikadi gani itakayobaki moyoni mwako?!Agiza Jack Daniel nakuja kulipa. Mwambie na kumhakikishia jamaa kuwa wengine njaa hazijawahi kutuondoa katika uanaume wetu.
Tokea 1997 nimeiunga mkono Chadema kwa kusaidia kuijengea uwezo kwa kadri ya uwezo na nafasi nipatayo na sijadai fadhila hata mara moja zaidi ya kufurahishwa na juhudi zao za utetezi kwa wasio na sauti.
Nakumbuka zamani hizo nikiwa mikoa ya kanda ya kati nilipata kumuuliza marehemu Warid Kabouru akiwa Katibu Mkuu wa Chadema na mtu mwenye ushawishi mkubwa kama Mbunge wa kwanza kabisa wa upinzani, kuwa hivi huko tuendako hatuwezi kusalitiana? Akasema mwendo ni mdundo tuu!
Imagine hapo nilikaribisha ujumbe wa viongozi akiwa na wenzake wanywe chai kwangu. Miaka kadhaa baadae nilibaki kusikitika tuu kwa alilolifanya.
Sisi tupo na tutakuwepo, hata Chadema ikifutwa watafuta chama bali itikadi itabaki moyoni tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa na nafasi ya kufanya jambo usiitumie vibaya maana kuna watu wanatafuta hata sehem ya kuongelea matatizo yao wanakosa.*Kuujua uwezo wa Sir Alex Ferguson, inaweza kukusaidia kumjua kocha wa siasa za Tanzania Sir Freeman Aikael Mbowe.*
______________________________________
Na
*Mwalimu John Pambalu.*
Dunia imeshuhudia uwezo wa ajabu wa viongozi wawili , mmoja akiwa kocha wa timu ya wa club ya Manchester united ya nchini uingereza na mwingine akiwa kocha wa siasa za taifa la Tanzania Sir Freeman A. Mbowe.
Ferguson meneja wa zamani wa club ya Manchester united alipata heshima kubwa kwa kuvunja rekodi ya kuinoa timu ya Manchester united kwa miaka takriba 27 kwa mafanikio makubwa.
Mbowe pia ndiye mwanasiasa bora zaidi nchini Tanzania na Afrika ya mashariki kwa kukiongoza chama kikuu cha upinzani kutoka mwaka 2004 mpaka sasa kwa mafanikio makubwa sana. Ameitoa chadema kutoka chama kisichokuwa na uwezo wa kusimamisha mgombea urais (chama cha kudandia wagombea wa NCCR MAGEUZI mwaka 1995 na chama cha CUF mwaka 2000) mpaka kufikia hatua ya kusimamisha wagombea urais mwaka 2005,2010 na 2015 huku matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 yaliyotangazwa na tume ya taifa ya uchaguzi yakidai eti Chadema ya Freeman Mbowe ilipata zaidi ya kura 6,000,000 tu dhidi ya 8,000,000 za CCM.
Ferguson anakumbukwa zaidi na washabiki wa soka duniani kote kwa mataji aliyobea kama mataji 13 ya ligi ya uingereza, 2 ya klabu bingwa ulaya na 5 kombe la FA. Aidha Ferguson anakumbukwa zaidi kwa uwezo wake wa kuibua kulea na kuendeleza vijana chipukizi kama wakina *David Beckham, Christian Ronaldo, Van der sar, Ferdinand, Vidic, Evra, Rooney, Giggs* na wengine wengi.
Pia Freeman Mbowe anaheshimika zaidi kwa kuibua, kulea na kuendeleza vijana kama *John Mnyika, John Heche, John Mrema, Benson Kigaila, Halima Mdee, Ezekia Wenje, Zitto Kabwe, David Silinde* na wengine wengi.
Siraha kubwa wanayoitumia miamba hii ya mifumo ya ushindi ( Ferguson na Mbowe ) ni kusimamia nidhamu kuliko tukuka.
Mwaka 2009 Christian Ronaldo akiwa mchezaji bora kuliko wote duniani alitaka kujiona yeye ni bora kuliko timu. Ferguson akaamua kumuuza ili kuwafundisha wachezaji wanaobaki kuwa hakuna supper star zaidi ya timu ya Manchester united. Maamuzia kama haya yalifanywa mwaka 2015 dhidi ya Dr. Slaa aliyekuwa katibu mkuu mahiri sana. Mbowe akasimamia maamuzi ya vikao kwamba hayupo aliye bora zaidi ya Chadema.
Aidha vuguvugu la wanaaiasa wa upinzani kuhama vyama vyao masalani Chadema na kujiunga na CCM, pia yanathibitisha uwezo wa Freeman Mbowe.
Itakumbukwa kuwa utaratibu wa kupitisha wagombea wanaowania nafasi za uwakilishi bungeni na katika halmashauri, wawakilishi wa vyama hupitishwa baada ya kupigiwa kura za maoni ndani ya vyama.
Umefika wakati wawakilishi wakijiudhuru kutoka Chadema wanateuliwa na CCM bila kupitia mchakato wa kura za maoni.
*Hii ni ishara wazi kuwa hata CCM wanatambua kuwa vijana waliopita mikononi mwa Mbowe wanauwezo mkubwa kuliko vijana na wazee walioko CCM.*
Ndio maana wanaotokea Chadema wanapata teuzi za ukuu wa wilaya, ukatibu tawala nk. Huku waliokulia CCM wakiendelea kuzeeka bila teuzi.
Ferguson na Mbowe wanabaki kuwa alama ya uwezo wa taasisi walizoziongoza (Manchester United na Chadema)
Tangu alipong'atuka madarakani Ferguson mpaka leo club ya Manchester united imepoteza mwelekeo wake, kosa ambalo taasisi ya Chadema haiko tayari kulifanya hata kidogo.
Wasalaam
John Pambalu.
Diwani wa kata ya Butimba Mwanza
Makamu Mkt Bavicha Tanzania bara.
Mshabiki wa Manchester United
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu mBISHIE kwamba wanaotoka Chadema hawapewi teuzi bila kupitia utaratibu mlijiwekea....Mbowe akiona nyumbu kama hawa wanamtetea kama hivi basi anaagiza na bia kabisa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea kwa HISIA KALI sana JIWE wa puuzi wake wanaamini wakifuta Chadema wameua upinzani NO upinzani uko mioyoyoniAgiza Jack Daniel nakuja kulipa. Mwambie na kumhakikishia jamaa kuwa wengine njaa hazijawahi kutuondoa katika uanaume wetu.
Tokea 1997 nimeiunga mkono Chadema kwa kusaidia kuijengea uwezo kwa kadri ya uwezo na nafasi nipatayo na sijadai fadhila hata mara moja zaidi ya kufurahishwa na juhudi zao za utetezi kwa wasio na sauti.
Nakumbuka zamani hizo nikiwa mikoa ya kanda ya kati nilipata kumuuliza marehemu Warid Kabouru akiwa Katibu Mkuu wa Chadema na mtu mwenye ushawishi mkubwa kama Mbunge wa kwanza kabisa wa upinzani, kuwa hivi huko tuendako hatuwezi kusalitiana? Akasema mwendo ni mdundo tuu!
Imagine hapo nilikaribisha ujumbe wa viongozi akiwa na wenzake wanywe chai kwangu. Miaka kadhaa baadae nilibaki kusikitika tuu kwa alilolifanya.
Sisi tupo na tutakuwepo, hata Chadema ikifutwa watafuta chama bali itikadi itabaki moyoni tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu mpinge kwa Evidence kwamba wanaotoka Chadema wanakumbana na Teuzi DirectUkiwa na nafasi ya kufanya jambo usiitumie vibaya maana kuna watu wanatafuta hata sehem ya kuongelea matatizo yao wanakosa.
What a shame! Thread mbovu ya mwaka 2018 ndo hii, unalinganisha vitu ambavyo habadani haviwezi kulinganishika.
Kumjua Sir Ferguson kwenye mpira ndio unakuja kupost ujinga kama huu.?? Shame on you.
Tutumie kalamu na majukwaa kama haya vizuri...huwezi kuandika ujinga kama huu.
Inasikitisha sana tena sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Makamo mwenyekiti unamuita nyumbu???? wakati upo kariokoo unauza karanga wewe una akili kweli?Mbowe akiona nyumbu kama hawa wanamtetea kama hivi basi anaagiza na bia kabisa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sipingi na sitopinga hali ya kisiasa hapa nchini kwetu maana sijihusishi na siasa na sitokuja kujihusisha kamwe ila nachopinga DIRECT ni mleta mada (kilichoandikwa) kumfananisha Sir Alex Ferguson na Mbowe...huu ni ujinga kiwango cha lami ya barabara ya mwendo kasi.Hebu mpinge kwa Evidence kwamba wanaotoka Chadema wanakumbana na Teuzi Direct
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hili ni andiko la kishujaa sana lililojaa ukakamavu mtupu !Agiza Jack Daniel nakuja kulipa. Mwambie na kumhakikishia jamaa kuwa wengine njaa hazijawahi kutuondoa katika uanaume wetu.
Tokea 1997 nimeiunga mkono Chadema kwa kusaidia kuijengea uwezo kwa kadri ya uwezo na nafasi nipatayo na sijadai fadhila hata mara moja zaidi ya kufurahishwa na juhudi zao za utetezi kwa wasio na sauti.
Nakumbuka zamani hizo nikiwa mikoa ya kanda ya kati nilipata kumuuliza marehemu Warid Kabouru akiwa Katibu Mkuu wa Chadema na mtu mwenye ushawishi mkubwa kama Mbunge wa kwanza kabisa wa upinzani, kuwa hivi huko tuendako hatuwezi kusalitiana? Akasema mwendo ni mdundo tuu!
Imagine hapo nilikaribisha ujumbe wa viongozi akiwa na wenzake wanywe chai kwangu. Miaka kadhaa baadae nilibaki kusikitika tuu kwa alilolifanya.
Sisi tupo na tutakuwepo, hata Chadema ikifutwa watafuta chama bali itikadi itabaki moyoni tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lowasa alipikwa na Mtei, Nyenyere akaona anafaa akamvuta.Kama CCM ilivyompika Lowassa akaja chadema mkamkabidhi na chama kabisa pamoja na ugombea magogoni!
Hukumuelewa mleta mada , ambaye ana akili sana na anafahamu soka na siasa ni tofauti bali alichotaka watu wafahamu ni uwezo mkubwa wa Bilionea Mbowe kwenye siasa za Tanzania akifananisha na uwezo wa Ferguson kwenye soka enzi zile.Sipingi na sitopinga hali ya kisiasa hapa nchini kwetu maana sijihusishi na siasa na sitokuja kujihusisha kamwe ila nachopinga DIRECT ni mleta mada (kilichoandikwa) kumfananisha Sir Alex Ferguson na Mbowe...huu ni ujinga kiwango cha lami ya barabara ya mwendo kasi.
Unafananishaje meneja wa mpira, ambae anafundisha soka tu...tena sio soka, alikua kwenye kablu ya soka inayomilikiwa na watu binafsi. Je unataka kusema uyu anaefananishwa nae iki chama ni chake binafsi (kuna tetesi zinasema ivyo maana hataki kubanduka kwenye kiti)..???
Kabla hatujatumia kalamu zetu narudia tena na tena tuwe WAANGALIFU MNOOOO.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu basi wewe tumia kalamu yako kumfanabisha Mbowe na Ferguson tuone!Ukiwa na nafasi ya kufanya jambo usiitumie vibaya maana kuna watu wanatafuta hata sehem ya kuongelea matatizo yao wanakosa.
What a shame! Thread mbovu ya mwaka 2018 ndo hii, unalinganisha vitu ambavyo habadani haviwezi kulinganishika.
Kumjua Sir Ferguson kwenye mpira ndio unakuja kupost ujinga kama huu.?? Shame on you.
Tutumie kalamu na majukwaa kama haya vizuri...huwezi kuandika ujinga kama huu.
Inasikitisha sana tena sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tapatapa lakini mleta Uzi sasa hivi anakunywa Balimi na samaki mkubwa pale ndama igoma baada ya kuleta bandiko zuriFalsafa za mpira na siasa ni tofauti...
Mpira ni biashara, mpira unajumuisha chakato nyingi sana mpaka kuwa na timu imara. Kumbuka pia kwenye mpira watu wanahodhi madaraka na kumiliki hivi vilabu. Miliki inaweza kuwa ya aina mbili, mosi ya wanachama kama vilabu kadhaa tunavyovijua na pili za watu binafsi kama tunavyojua pia.
Mbowe ana mazuri yake na nina mkubali sana tena sana ila kumfananisha na Sir Ferguson HAPANA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unataka kupasuka? Unajua maana ya comparison? Umeambiwa kabisa ugwiji wa Ferguson katika soka ndio kama wa Mbowe katika siasa, kwamba ni watu never say die sasa usichoelewa ni nini?Sipingi na sitopinga hali ya kisiasa hapa nchini kwetu maana sijihusishi na siasa na sitokuja kujihusisha kamwe ila nachopinga DIRECT ni mleta mada (kilichoandikwa) kumfananisha Sir Alex Ferguson na Mbowe...huu ni ujinga kiwango cha lami ya barabara ya mwendo kasi.