Tunamhitaji Mbowe sasa kuliko wakati mwingine wowote!Hatimaye ule mwaka ambao Freeman Aikael Mbowe alitangaza kuwa ataachia Uenyekiti wa CHADEMA na kumkabidhi kiongozi mpya yaani mwaka 2023 umefika na unakaribia kuisha Swali ni Freeman Mbowe unatuachaje?
Mwaka 2023 unakaribia kwisha hakuna hata dalili za uchaguzi ndani ya CHADEMA na haijulikani ni nani mrithi ambaye Mbowe amemuandaa au anatuachia atakayeweza kuvaa viatu vyake?
Freeman Mbowe unatuachaje?
