Freeman Mbowe - set Tanzanians free! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Freeman Mbowe - set Tanzanians free!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kweleakwelea, Jun 21, 2011.

 1. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,421
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 180
  Hi all,

  kila wakati nimekuwa nikitafakari dynamics za politics hapa Tanzania na nimegundua kuwa Mungu nio mwema..

  nikatafakari modalities za umafia wa siasa zinazotumiwa na CCM kuendelea kushika dola nikaona upendo wa Mungu....

  ni Mungu ndiye aliyemtuma mja wake Freeman aje atukomboe.....

  Freeman ni mwanadamu, naye ana mapungufu pia ana mazuri.....

  Freeman, will set Tanzanians FREE!!!

  nina kila sababu ya kusema hivyo na nitaweka mkazo kama ifuatavyo...

  Tangu kuanzishwa kwa vyama vingi umafia ufuatao umekuwa ukitumika....

  1. kuanzisha vyama utitiri vya kusindikiza CCM ikulu. vyama hivi vimekuwa vikiongozwa ma mamluki au maafisa usalama. vimeshiriki chaguzi lakini kiutaalamu sana kuiachia CCM ipite e.g. NCCR mageuzi ya Mrema na hata sasa ya Mbatia

  2. kupandikiza maafisa usalama waliosomea jinsi ya kuua upinzani ndani ya mioyo ya watu. we could see shift from one party to another (eg lyatonga Mrema) na jinsi ilivyowafanya watu wakate tamaa na siasa....toka NCCR hadi TLP kote akichukua nafasi za uenyekiti na kuua morale za watu kupigania haki zao.......

  3. kutumia hela kuvuruga vyama na itikadi za siasa za watu.... kama ilivyokuwa pale namba moja, imagine mtu kama DOVUTWA FAHMI DOVUTWA aliwezaje kutimiza masharti ya kuwa mgombea uraisi?? hatuani ni kituko cha mwaka alipojitoa pale mwisho kura zake ziende kwa kikwete? jinsi gani anavyojiunga na mbatia na mrema kuwapiga vita chadema??

  4. Uwepo wa vyama kama kina dovutwa na SAU ni shindikizo la kuunga mkono maazimio yasiyo na mashiko. tumeona mara nyingi hawa huitwa kuunga mkono maazimio yale hayaungwi mkono na vyama upright... hupewa hela nzuri tu kama ujira wao.....

  5. kupandikiza viongozi wenye siasa za mrengo wa kati ili kuiwezesha CCM kubaki madarakani

  6. Kutumia POSHO kukamata wasomi. na watu wenye ufahamu kujiunga nao na kuuhujumu upinzani.

  kwa nini Mungu ni mzuri kwa kutupa Mbowe?

  1. hahongeki

  2. Ana nia ya dhati ya kumkomboa mtanzania. imefanya chama kiaminike na kugain popularity miongoni mwa watanzania hata wale wasomi.

  3. ni shupavu, ana msimamo na ana uwezo wa kuchukua hatua behind the curtain (umafia anauweza)

  4. ana adabu kubwa kwa wazee, mnyenyekevu, anaheshimu mchango wa wasomi wa tanzania, na kwa busara kubwa ameweza kuzuia mapandikizi yenye siasa za mrengo wa kati kuja kuidismental chadema. I SINCERELY TO DO NOT SEE THE BEST ALTERNATIVE SO FAR.

  5. Ni shujaa wetu - japo tunauthamini mchango wa viongozi wetu wote wa chama, bado tuna imani kubwa kwa mwenyekiti wetu Mh Mbowe tukiamini kuwa atatuvusha salama katika kipindi hiki chenye ukuwadi mkali wa kukiua toka CCM

  6. ni mtu wa kazi, pamoja na nafasi yake kubwa, huweza kufanya kazi masaa mengi, bila kula wala kupumzika.. kwa kweli wakati wa kazi za chama mara nyingi huwa mtu wa mwisho kuchoka.....na kukumbuka chakula....(kaka wa ajabu)

  7. ameongoza na anaendelea kuongoza wabunge wake kuchapa kazi bila kulala... huongoza na kusisitiza kuwa kupata ubunge sio mwanzo wa holiday........aliapa kuwa kuupata ubunge ni mwanzo wa safari na sasa tunaona....

  Mungu Mbariki Mbowe,

  Mungu ibariki CHADEMA,

  Mungu ibariki Tanzania.
   
 2. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,081
  Trophy Points: 280
  wengine wanamuita mchezesha disco na mengine mengi lakini ukweli unabaki kuwa ...."God giveth to whosoever He willeth"!!! (hiyo lugha ya scriptures za kale)
   
 3. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,421
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 180
  IT IS TRUE,

  hata Daudi alikuwa wa mwisho kudhaniwa kuwa mfalme, ...kale kadogo kako machungani?? Samweli akasema wite huyo huyo kwani bwana amemchagua.....

  hata Yesu alitokea Nazareth, kitongoji kidooooogooooo akakulia kwenye nyumba ya Carpenter.....

  hata Yusufu, aliuzwa utumwani...akaja kuwa waziri mkuu......

  hata naamani alipoambiwa aingie kwenye mto aoge mara saba akasema..je hakuma mito mizuri kuliko yote pale misri? je kujichovya hapa mara saba ndio ukoma utaisha??? alipofanya hivyo akapona....

  kaka JIWE LA PEMBENI NDO HUWA JIWE KUU!!!maprofesa na madr wa Tanzania walikuwepo for days, lakini wameshindwa kuwork kubadilisha system, sana sana ndio wamekuwa mafisadi wakipata nafasi....sasa ni zamu ya doscojoker...he will DO IT!
   
 4. D

  DoubleOSeven JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2011
  Joined: Jul 5, 2008
  Messages: 661
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  ... nami najaribu umbumbumbu, japo kidoogo tu katika mada safi. Nachafua hewa (kwi kwi kwi) hivi:
  8: Freeman ni Mchagga
  9: Freeman ni Mkristo
   
 5. L

  LAT JF-Expert Member

  #5
  Jun 21, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  great observation

  no retreat no surrender
   
 6. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #6
  Jun 21, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  You have said it all . Mbowe na Chadema na wapenda maendeleo kwa Tanzania mdumu na mbarikiwe
   
 7. maishapopote

  maishapopote JF Gold Member

  #7
  Jun 21, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 2,000
  Likes Received: 957
  Trophy Points: 280
  dah mkuu ahsante sana kaka umenena..slaa ni mkali ila mbowe ni mkali zaidi yake amekitoa chama mbali sana
   
 8. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #8
  Jun 21, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,047
  Likes Received: 3,074
  Trophy Points: 280
  Watawala wa kiafrika utengeneza demokrasia kiinimacho kwa kuandaa uchaguzi na kuwazuga raia wakapige kura kwa kuingia mtego ambao watawala uamini utaweza kuwarudisha wao madarakani kitu ambacho mtu hawezi kuhoji na hata kama akihoji ataambiwa raisi kapatikana kiharali kupitia sanduku la kura

  mazingira hayo ni pamoja na kutumia majeshi,tume za uchaguzi,kuongeza marupurupu,kutumia vyama butu,vyombo vya habari n.k...hizi mbinu zimetumiwa sana Tanzania ili kuidhoofisha CDM japo chini ya uongozi wa Mbowe CDM imezidi kuwa mwiba na sasa inaelekea ikulu kwa kasi

  Shukrani ni kwa viongozi wa chama chini ya kamanda mkuu Mbowe...Mbowe amekomaa sana kisiasi na anakidhi matarajio ya wanachama wake,wapiga kura wake na watanzania kwa ujumla wetu,nampenda siku hizi amepata composure ya kutosha naona hata Spika anamkubali sana japo hawezi kutamka wazi
   
 9. Selous

  Selous JF-Expert Member

  #9
  Jun 21, 2011
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 1,322
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kizingiti cha CCM kutawala taifa milelel ni Mbowe, hahongeki na ni mtoto wa mjini. Pongezi ziende kwa waanzilishi, DR. Slaa siasa za Tanzania umeziwekea chachu. Tafadhali andaeni mtu wa kumrithi kama hatagombea 2014.

  Please CDM don let Tanzanians down, you will personally suffer.
   
 10. T

  Taifa_Kwanza JF-Expert Member

  #10
  Jun 21, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 443
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hakuna haja ya kuwalinganisha hawa majabali wawili
  Lakini cha msingi ni lazima tukubali kwamba wote wawili
  mwaka jana walifanya maamuzi ambayo yanatakiwa kuandikwa
  katika vitabu vya historia ya nchi yetu.
  1. Free Man Mbowe, kama mwenyekiti wa Chama,
  angeweza kung'ang'ania kugombea tena urais ili apate ujiko (Lipumba syndrome)
  lakini akamuachia DR bila kujali kwamba DR alikuwa positioned kufunika wanasiasa
  wote waliohai nchini kama angeingia kugombea urais and so it happened. na bado anafunika

  2. DR. Huku akijua uchaguzi hautakuwa huru wala wa haki kwenye kiny'ang'anyilo cha urais
  akasacrifice ubunge, kwa manufaa ya chama, na kweli yamepatikana. hakuna alichopoteza.

  Nasikia Sugu last week alimshukuru kwa kumuingiza Bungeni.

  N.B
  Niliisha wahi kusema hapa ndani kwamba siku moja, watanzania watakuja
  kukubali kwamba mbowe ni mwanasiasa wa viwango nadra.
  acha muone wenyewe
   
 11. n

  nyantella JF-Expert Member

  #11
  Jun 21, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 890
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Kaazi kweli kweli saaaasa Dkt. Slaa je? hafai tena? we ngoja kwa kua kakaa kimya eh? acha atafute data za maandamano. utageuza maandishi mwenyewe!!! unamuonea kwa sababu my wife wake mambo mazuri eh? we acha tu!!
   
 12. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #12
  Jun 21, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,421
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 180
  Aksante sana!! ni kweli tusiwalinganishe kwani mungu amegawa karama tofauti kwa watu tofauti. wala tusiwaruhusu kabisa wale wapinga maendeleo wa nchi yetu kutumia mwanya kama huu wa hii thread kutugombanisha na kuwagombanisha wanasiasa wetu....wote tumeadmit, jinsi mnyika alivyo hua mpole mpanga hoja, mdee kata funua - kiboko ya wauza sura, regia mgawa pamba za masikio nyuma ya kifaru, zitto MBISHI MZOEFU, rose kamili - bakora ya mashankupe waliopotea njia na kuingia mjengoni, godbless lema jembe la horse pawa laki moja linapiga hadi arusini, matiko - nyoka anayepiga na kubaki na jino, lissu mchumba wa bi kiroboto na - mafua ya werema, leo tena wakuu mmekiri kuwa mmemsikia machemli na kiwia wakitema cheche sawia.......wachilia mbali mzee wa sindano za moto- freeman mbowe ..etc etc.

  tunachosema ni kuwa kuweza kumanage na kuorganise such heads "vichwa vyote UNDER THE SAME ROOF" hivi PAMOJA NA CHA DR SLAA.....ambavyo viliishashindikana tangia huko sio kitu cha kitoto..kwa wale waliosoma human resources watansaidia hapa..... hapa ndipo tunampongeza sana Mbowe....

  dR SLAA PIA BADO TUNAMPENDA NA TUNAMUAMINI. TUNAMSUBIRI 2015.....UNLESS OTHERWISE...

  tusisahau kujipigia makofi na sie wanachama wa chadema.....wote kwa pamoja tunaijenga tanzania mpya!
   
 13. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #13
  Jun 21, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Huyu Mbowe sitaki hata kumsikia! Kaharibu sana vijana wengi tanzania na ule ukumbi wake pale katikati ya jiji!
  Hafai kuwa kiongozi mkubwa! Biashara na siasa wapi na wapi?
   
 14. Mkasika

  Mkasika JF-Expert Member

  #14
  Jun 21, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 393
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  For pity's sake! We are still very poor and abused with our f*** Government, we have got nothing to lose? We have been living in a hell for long enough!!.
  Any possible outcome is going to be for better anyway. If one wants to make any progress, one is bound to do some sacrifices first.
  You cannot grow a new tree without sacrificing the seed into the soil. The disappearance of the seed into the soil is a death really, is it a transformation into higher being.
  Go on CDM, go on people power you got nothing, absolutely nothing to lose!
   
 15. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #15
  Jun 21, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,421
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 180
  you must be mad... SORRY, By the way, unasema ulikulia masaki?

  howevr, you must admit, Mbowe ni mwiba mchungu kwa chichiemu!
   
 16. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #16
  Jun 21, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Siyo juu yako kufahamu natokea wapi! Mbaya zaidi suku hizi Billz hamna age restriction, unakuta vitoto vya primary na secondary usiku wa manane! Kwa mtindo huu huyu mtu anatupeleka wap? Let's be serious plz
   
 17. Ng'azagala

  Ng'azagala JF-Expert Member

  #17
  Jun 21, 2011
  Joined: Jun 7, 2008
  Messages: 1,275
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  hivi mnamwongelea Mbowe yupi? watanzania bwana
   
 18. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #18
  Jun 21, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,421
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 180
  nilicheza bills nikiwa mvulana, na sasa ni mtu mzima naendelea kucheza, kama sio sun sirro ni bills.....sikuharibika, sijaharibika sintoharibika na ninaaminika na jamii...

  unachosema hakipo - niko tayari kutoa ushahidi..... ulipoyaona hayo uliripoti wapi?

  by the way, wanajamvi, TUMPOTEZEE HUYU KATUMWA NA NAPE KUVURUGA DIMENSION OF SUCH A SENSITIVE TOPIC....
   
 19. m

  migomo ya vyuo Member

  #19
  Jun 21, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbowe kweli ni jembe. huwa anaimia sana kila anapoifikiria tanzania. ni mtu wa pekee kwanza anahuruma sana. mimi ni kijana wake na ninafanya nae kazi kweli huyu kwa nza ni mbunifu na hana wivu.ukitaka kuamini hilo angalia tu chadema na kila kilichopo uliza kwa mtu yoyote muasisi wa hili ni nani? mbowe mungu akupe nguvu akulinde akujaze ujasiri. nipo nyuma yako saa na wakati wowote
   
 20. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #20
  Jun 21, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  shida unatumia ****** kuwaza
   
Loading...