johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Hii inakwenda kumrudisha Rpc bench makao makuu.Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe kesho saa 5 asubuhi atalihutubia taifa kutokea jijini Mwanza.
Taarifa rasmi ya Bawacha imesema Mbowe ataelezea muelekeo wa chama katika kudai katiba mpya
Wakati huo huo taarifa zisizo rasmi zinadai wanachama wote wa Chadema waliokamatwa na polisi jana wakijiandaa kwa kongamano la katiba mpya leo wameachiliwa bila masharti yoyote.
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Ndio bwashee!Kulihutubia taifa???
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe kesho saa 5 asubuhi atalihutubia taifa kutokea jijini Mwanza.
Taarifa rasmi ya Bawacha imesema Mbowe ataelezea muelekeo wa chama katika kudai katiba mpya
Wakati huo huo taarifa zisizo rasmi zinadai wanachama wote wa Chadema waliokamatwa na polisi jana wakijiandaa kwa kongamano la katiba mpya leo wameachiliwa bila masharti yoyote.
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Analihutubia taifa kama nani??
Tanzania!Atalihutubia taifa gani??
Mwenyekiti wa Chadema!Analihutubia taifa kama nani??
Ndio bwashee!
Kesho usinywe kimpumu umsikilize mwenyekiti.
Taifa la digitaliTaifa gani??
Ukishakuwa na chama ambacho hakina malengo ila kinadandia kila wanalokutana nalo mbele ujue hamna chama hapo....chadema kama wako serious wawe na malengo wanayotaka kuyafanikisha ndo wayalete kwa wananchi. Sio kuvizia hotuba za viongozi na mawaiziri ndo wanakomalia HIYO HAIWEZI KUWAJENGA KAMA CHAMAMwenyekiti wa Chadema!
Hatujasikia chochote kutoka kwake. Ila yule anayeshikishwa ukuta kule ubeleji amesema ataendelea kushikishwa mpaka kieleweke.Kwani mwendakuzimu anasemaje huko jehanamu aliko?
anasema chadema wapewe katiba mpya ya chama kwanza.Kwani mwendakuzimu anasemaje huko jehanamu aliko?
... anawaona Baba Ibrahim mbali kule akiwa na Kamanda Ben na Mawazo anawapigia kelele; mnitoe humu; sikuyajua haya! Akamjibu, pana uzio mkubwa sana kati yetu huku na wewe, hatuwezi kukusaidia lolote.Kwani mwendakuzimu anasemaje huko jehanamu aliko?
πππππila majibu ya humu mujarab sana aiseeNdio bwashee!
Kesho usinywe kimpumu umsikilize mwenyekiti.
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe kesho saa 5 asubuhi atalihutubia taifa kutokea jijini Mwanza.
Taarifa rasmi ya Bawacha imesema Mbowe ataelezea muelekeo wa chama katika kudai katiba mpya
Wakati huo huo taarifa zisizo rasmi zinadai wanachama wote wa Chadema waliokamatwa na polisi jana wakijiandaa kwa kongamano la katiba mpya leo wameachiliwa bila masharti yoyote.
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Hahahaaaa.........!πππππila majibu ya humu mujarab sana aisee