Freeman Mbowe: Kukata tamaa ni laana, CHADEMA hakifi

Freeman Mbowe: Kukata tamaa ni laana, CHADEMA hakifi

mwenye lengo la kuwakatisha tamaa Cadema, ni huyo aliyejihudhuru au huyo aliyewanunua?
 
Baeleze hao kiongozi wangu

Tatizo la CCM umekuwa wewe ni mwiba kwao ndo maana wanafanya hujma tukipeleka vielelezo vya rushwa takukuruccm wanashikwa na kigugumizi cha kuchukua hatua.

Hakuna kukata tamaa maana ukianguka wewe sisi ndo hatutaweza kusimama tena.
 
Nimekuja hapa kuwaambia Ukonga kukata tamaa ni Laana, Kama tunapigania mageuzi tuelewe hii safari ni Ndefu, kwamba haya ya miaka 27 tuofikia leo tumepitia katika mabonde na Milima miiba na mawe kufika hapa tulipofika. Lakini bado hatujafika tunapotaka kufika tujiandae kwa pamoja tuongeze Nguvu zetu kufika katika safari yetu.

Lazima tujiandae vyema, Kazi kubwa inayofanywa na chama chama Mapinduzi ni kuwakatisha Tamaa, na jambo ambalo limefanyika hivi Karibuni ambalo limeonekana limewarudisha nyuma wanachadema wengi ni la madiwani.

Kuna watu wanasema wanachadema wananunuliwa wanaunga mkono juhudi lakini duh watu wengine ni Mizigo lakini utafanyaje wanachadema wanakata tamaa madiwani wanaisha...... Wengine wanahofu madiwani wanarudi chama kunakufa hiki chama hakifi chadema nchi nzima ina madiwani 1184 madiwani mpaka Dakika hii wameondoka ni madiwani 46.

@freemanmbowetz
Mwenyekiti wa chadema TaifaView attachment 768795

Kumbe angesema nini? Miakas 20 Chama hakina hata ofisi na bado watu wanaendelea kuzungusha mikono.
 
Serikali ikifuta ruzuku tu anazokula mbowe na genge lake siku hiyo hiyo chadema inakufa na mbowe anatangaza kujiuzulu uenyekiti siku hiyo hiyo
 
Kukijenga chama cha Upinzani kwa kutumia imani ya mtu ni kazi kubwa mno, on the process kuna wasaliti lazima watakuwepo; hawa hawawezi kukiua chama ila wanakidhoofisha na kuwaua moyo wanaobakia.

Dola yoyote ile ikiamua inaweza kuvimaliza vyama vya Upinzani kabisa, vikabakia nyaka-nyaka. Kushindana na chama dola kunataka imani na moyo mkuu, ile kazi si lelemama inabidi tumpongeze sana Mh. Mbowe kuijenga CDM hadi kufika hapo ilipo.

Na nyie madiwani mliowasaliti wenzetu nawahakikishia lazima mtalipa dhuruma mlioifanya, na huko mlikohamia kumbukeni mna mda mchache tu wa kutesa CCM ina wenyewe.
 
Wewe Batbarosa ccm ikifa utakula nini. Sisi wengine hatuna chama lakini tunataka democrasia iishi
 
Unawapigania watanzania? Muulize mange. Pigania tumbo lako ila msimamo wako ubaki thabiti
 
Of course kukata tamaa ni laana kwa chadema, ni lazima uwaambie hivyo ili waendelee kukulipa na kukuneemesha huko wao wakiishia mlo mmoja kwa siku, I mean nani angekataa privilege ka a hiyo?
mikoa maskin inayoongoza kula mlo mmoja n Dodoma,geita,kigm kote huko n ccm
 
MIMI KIUKWELI KABISA NAMUHESHIMU SANA MZEEE MBOWE PAMOJA WAZEEE WOTE NDANI YA CHADEMA.

LAKINI TANGU MUARISHE MAANDAMANO YA UKUTA MPKA LEO HIII NAWAONA WOTE WAZUSHII TUUU
 
Nimekuja hapa kuwaambia Ukonga kukata tamaa ni Laana, Kama tunapigania mageuzi tuelewe hii safari ni Ndefu, kwamba haya ya miaka 27 tuofikia leo tumepitia katika mabonde na Milima miiba na mawe kufika hapa tulipofika. Lakini bado hatujafika tunapotaka kufika tujiandae kwa pamoja tuongeze Nguvu zetu kufika katika safari yetu.

Lazima tujiandae vyema, Kazi kubwa inayofanywa na chama chama Mapinduzi ni kuwakatisha Tamaa, na jambo ambalo limefanyika hivi Karibuni ambalo limeonekana limewarudisha nyuma wanachadema wengi ni la madiwani.

Kuna watu wanasema wanachadema wananunuliwa wanaunga mkono juhudi lakini duh watu wengine ni Mizigo lakini utafanyaje wanachadema wanakata tamaa madiwani wanaisha...... Wengine wanahofu madiwani wanarudi chama kunakufa hiki chama hakifi chadema nchi nzima ina madiwani 1184 madiwani mpaka Dakika hii wameondoka ni madiwani 46.

@freemanmbowetz
Mwenyekiti wa chadema TaifaView attachment 768795
Mungu mbariki Mbowe .
 
Vitisho na vifungo si dawa
Ila kiuhalisi Mbowe anahitaji kukijenga Chama upya maana wanayoyafanya wabunge wake na wagombea urais ukweli ni mzungumkuti,
Kila mtu akikutana na rais ni kumsifia tu badala ya kusema maoni yao halisi na maumivu yao
 
Chadema imeshauzwa
Magufuli kishawatupa vijana wa mitandaoni mnapiga miayo tu kudadeki ! unaambiwa hata zile hela za kulaza magari kwenye matawi yenu ya ccm zote kawanyang'anya , sasa hivi hawategemei tena , tegemeo lake kubwa kwa sasa ni polisi
 
Back
Top Bottom