SAM wa KILUNGU
Member
- Jan 22, 2011
- 52
- 13
Na hasa ukiwa Mshabiki wa Ccm,Kinyesi utaita Blue Band!!nashangaa tuna ambiwa anacho tumia badala ya anacho sema,ushabiki ni utumwa wa ajabu sana
Hata humu JF si unaona Mwenyewe,Chadema wana fine brains whereas Magamba ni tia maji tia maji,shake well before use!!!Itabidi Chadema wamwazime Pinda wataalam inaonekana Chadema inawataalam kuliko Ofisi ya Pinda?!
huo ushamba semeni anachoongea sio ipod au hamzijui.