Freeman Mbowe awasili Jijini Philadelphia Pennsylvania, Marekani

Yes, hata Kuhani, Mchambuzi na Mzee Mwanakijiji ni mara moja moja sana tena kwa hoja nyepesi nyepesi!.

P
JF imekua na kupanuka. Sasa hivi ni kama kokoro. Limejaa samaki na kila takataka za baharini.

Kuna members humu weupe ndani ya vichwa vyao, lugha pekee wanayoifahamu na kuimudu ni matusi.

Ngumu sana kwa watu makini kuchangamana nao.
 
Mtu anayemiliki biashara ya hotel na uwekezaji nje ya nchi (Dubai) unadhani anakosa vibilioni kadhaa?

Tuache wivu usio na msingi. Familia yao tu kina Mbowe ni familia yenye ukwasi wa kutosha tu. Mzee Mbowe alikuwa tajiri mkubwa tu nchini kabla ya kuwaachia mali familia.
Mzee Mbowe aliiba Mali za Umma kisa tu ya uswahiba wake na Baba wa Taifa!!!
 
View attachment 2374155

Bilionea Mbowe , ambaye pia ni Mwekezaji na Mfanyabiashara wa Kimataifa , ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema, Tajiri aliyejitolea kusaidia Watanzania kupitia Siasa , Amewasili Katika Jiji la Philadelphia nchini Marekani.

Taarifa zinadokeza kwamba pamoja na mambo mengine , Mbowe atahudhuria Mazishi ya Mpwa wake tarehe 1/10/202 , baada misa itakayofanyika Jijini humo .

Kabla ya Dharula hii Mbowe alipangiwa kuwa Mgeni Rasmi kwenye Siku ya kidunia ya Wazee ambayo imefanyika Dodoma Tanzania, ambako ilitarajiwe Ahutubie Taifa.
Mbona hakuambatana na Asenga ,Lema na Mrema ?
 
Bilionea?mbona hasaidii chama kujenga ofisi hadi wamepanga ofisi za chama nyumbani kwa mtu ?
 
Mpwa ni mtoto wa dada, anamuita Mbowe mjomba, ni ndugu wa kikeni, hivyo hawezi jua baba ni wa wapi. Nimeishi Maryland jirani na dada wa Freeman kuolewa US .
P
Maryland na Pennsylvania (Philadelphia) wapi na wapi. Huyo wa Maryland ni Mura na ni shemeji wa Kamanda.
 
Back
Top Bottom