Freeman Mbowe Ashiriki Msiba wa Mdogo wake Edwin Mtei

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
137,709
Reaction score
272,611
Hii ndio Taarifa ya Sasa inayozunguka mitandaoni, kwamba Muasisi wa Chadema, Edwin Mtei amepata Msiba wa Mdogo wake, hivyo baadhi ya Wadau wameshiriki katika kuwapa faraja Wafiwa.

Pichani ni Freeman Mbowe akiwa na Viongozi wastaafu na wa sasa wa Chadema, wakishiriki jambo hilo la kibinadamu

Screenshot_2025-04-06-11-24-14-1.png
Screenshot_2025-04-06-11-24-07-1.png
 
Hii ndio Taarifa ya Sasa inayozunguka mitandaoni, kwamba Muasisi wa Chadema, Edwin Mtei amepata Msiba wa Mdogo wake, hivyo baadhi ya Wadau wameshiriki katika kuwapa faraja Wafiwa.

Pichani ni Freeman Mbowe akiwa na Viongozi wastaafu na wa sasa wa Chadema, wakishiriki jambo hilo la kibinadamu

View attachment 3294697View attachment 3294698
Poleni Sana .

Bwana akawe Mfariji wenu.
 
Hii ndio Taarifa ya Sasa inayozunguka mitandaoni, kwamba Muasisi wa Chadema, Edwin Mtei amepata Msiba wa Mdogo wake, hivyo baadhi ya Wadau wameshiriki katika kuwapa faraja Wafiwa.

Pichani ni Freeman Mbowe akiwa na Viongozi wastaafu na wa sasa wa Chadema, wakishiriki jambo hilo la kibinadamu

View attachment 3294697View attachment 3294698
Naomba namba yake niwasiliane naye. chadema inaniumiza kumeguka
 
Hii ndio Taarifa ya Sasa inayozunguka mitandaoni, kwamba Muasisi wa Chadema, Edwin Mtei amepata Msiba wa Mdogo wake, hivyo baadhi ya Wadau wameshiriki katika kuwapa faraja Wafiwa.

Pichani ni Freeman Mbowe akiwa na Viongozi wastaafu na wa sasa wa Chadema, wakishiriki jambo hilo la kibinadamu

View attachment 3294697View attachment 3294698
Hapa sasa ndio umeitendea haki nafasi yako...Mbona simuoni muwakilishi yeyote chadema ya dikteta uchwara hiyo ni kambi ya Mbowe waliosukumizwa nje na kufungiwa milango!
 
Msiba hauna Mwaliko
 
Kuna haja kubwa sana ya Mbowe na Lissu kumaliza tofauti zao kwa mustakabzli wa Cdm. Hii picha inazungumza mengi sana. Wapanga mikakati.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom