Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mhe.Freeman Mbowe, leo Alhamisi 26/10/2017 ameshiriki misa ya kuuaga na kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa mama Margareth Jonathan Matlei mkazi wa Sombetini Arusha katika kanisa la KKKT Usharika wa Kirika Sombetini Arusha.
Mhe.Mbowe ameongozana na Mhe. Mwenyekiti wa halmashauri ya Meru Mhe.Njau, Naibu Meya wa jiji la Arusha, Mhe.Viola Likindilikoki, Diwani wa Kata ya Sombetini Ally Bananga, Diwani wa Kata ya Ngarenaro pamoja na viongozi wengine.