Freeman Mbowe Ashiriki Msiba wa Mama Matlei Mkazi wa Sombetini Arusha

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,898
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mhe.Freeman Mbowe, leo Alhamisi 26/10/2017 ameshiriki misa ya kuuaga na kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa mama Margareth Jonathan Matlei mkazi wa Sombetini Arusha katika kanisa la KKKT Usharika wa Kirika Sombetini Arusha.

Mhe.Mbowe ameongozana na Mhe. Mwenyekiti wa halmashauri ya Meru Mhe.Njau, Naibu Meya wa jiji la Arusha, Mhe.Viola Likindilikoki, Diwani wa Kata ya Sombetini Ally Bananga, Diwani wa Kata ya Ngarenaro pamoja na viongozi wengine.
mbowe1.jpg

mbowe2.jpg

mbowe3.jpg
 
View attachment 617860

View attachment 617862

View attachment 617864
Kwani ni nani huyu mama. Poleni wafiwa.
 
Back
Top Bottom