Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 19,521
- 26,233
Rais wako anayesifika kwa uchapa kazi anamtambua Mbowe sembuse weweHamna alichofanya huko jimboni acha kumtetea hyo tabia yake mbaya ya kutelekeza wananchi mbunge mzima hashiriki kazi za kijamii yet unamtetea na ndio maana alizomewa mkasema ni waliotumwa kumbe ni wananchi wake, akirudi bungeni ajirekebishe na kuchaguliwa kwake ni vile tu watu haiipendi ccm damuni na siku ccm wakileta mgombea potential huyo mbowe hapati wananchi wanataka mabadiliko sio watelekeza Jimbo na warudi siku ya kutaka kura tu
Yeye aliongea na kwao Chato kafanya makubwa kuhamishia keki ya taifa huyo mbowe kafanya kipi kipya zaidi ya kukimbia Jimbo mda wote na hashiriki lolote huko jimboni. Acha kutetea uzembe kwa huyo mbowe magufuli kutamka yeye sio mwananchi wa HaiRais wako anayesifika kwa uchapa kazi anamtambua Mbowe sembuse wewe
Sasa kama hafanyi chochote huwa anapataje kuchaguliwa kila akigombea ubunge wa hio jimbo, huoni kama hauwazi sawasawa ?Yeye aliongea na kwao Chato kafanya makubwa kuhamishia keki ya taifa huyo mbowe kafanya kipi kipya zaidi ya kukimbia Jimbo mda wote na hashiriki lolote huko jimboni. Acha kutetea uzembe kwa huyo mbowe magufuli kutamka yeye sio mwananchi wa Hai
Team Bavicha Kindakindaki tufahamiane.Hiyo 1% aliyokosa itakuwa ni mapandikizi ya maccm 😜
ana maana ya hakuna mpinzani, masisiemu yanalitamani sana hilo jimbo lakini miaka yote yameshindwa
Nyie ndo huwa mnasema kuchaguliwa kwa 100% ni udikteta sasa leo mnafulahia 99% na bado mnaona alitakiwa kufika 100%?
Yaani akiri zenu ni sawa na tiara inavyorushwa na upepo.
Hamueleweki.
ndio maana yake hio, sasa hapo nimekimbiaje hoja!? hata mtoa mada ametoa maana hio hio..Usipende kukimbia hoja. Achana na CCM. Zungumzia neno Demokrasia.
Nimekwambia kule watu hawaipendi ccm, na Wana chagua kitu chenye unafuu wa ubovu. Jamani acha kutetea upuuzi wa Mbowe na wabunge wasio wajibika mbona ccm hukataliwa Mara nyingi na wanatangazwa washindi kinguvu?Sasa kama hafanyi chochote huwa anapataje kuchaguliwa kila akigombea ubunge wa hio jimbo, huoni kama hauwazi sawasawa ?
Hakuna MTU mwenye akili nyingi chadema kama mbowe ye kabaki na uenyekiti na hataki kabisa kusogelea uraisi anajua uraisi atakosa na ubunge atapita BT aangalie now asije shindwa fika bungeniAmefanya vyema sana kuachana na kinyang'anyiro cha Urais. Kila la kheri kwake.
Napongeza sana kuachana na mpango wa uraisAmefanya vyema sana kuachana na kinyang'anyiro cha Urais. Kila la kheri kwake.
Huwezi kukubalika na wote hata wawe ndugu zakoKwa sasa acha tu tuseme ndio demokrasia
Hiyo 1% aliyokosa itakuwa ni mapandikizi ya maccm
Kumbe unajua wanachagua mtu mwenye nafuu, basi mpe Mbowe heshima yake, sio pampalila zako sizizo na mashiko.Nimekwambia kule watu hawaipendi ccm, na Wana chagua kitu chenye unafuu wa ubovu. Jamani acha kutetea upuuzi wa Mbowe na wabunge wasio wajibika mbona ccm hukataliwa Mara nyingi na wanatangazwa washindi kinguvu?
Utanigombanisha na mjumbe
Hamna Cha heshima kutwa kunanga ccm wao wamefanya Jambo lipi jipya zaidi ya kuwa wale wale wanahadaa umma, wakipata ubunge hawarudi, Sasa hivi kipindi Cha uchaguzi wanatafta ulaji wakipata wale cornerKumbe unajua wanachagua mtu mwenye nafuu, basi mpe Mbowe heshima yake, sio pampalila zako sizizo na mashiko.
Mtu unayeamini Mbunge ana pesa za kubadilisha maisha ya wananchi wa jimbo lake ni kichaa uliyechangamka.Hamna Cha heshima kutwa kunanga ccm wao wamefanya Jambo lipi jipya zaidi ya kuwa wale wale wanahadaa umma, wakipata ubunge hawarudi, Sasa hivi kipindi Cha uchaguzi wanatafta ulaji wakipata wale corner
Sijaona sababu ya kunitusi kichaa naongea mazingira ninayo yajua nje ndani na Hali halisi ya wananchi wengi why uniite kichaa!!?Mtu unayeamini Mbunge ana pesa za kubadilisha maisha ya wananchi wa jimbo lake ni kichaa uliyechangamka.
Elewa kwamba kazi ya mbunge ni kuwasemea wananchi na kuisimamia serikali kwa niaba ya wananchi, hayo mengine mnayoyataka ni matokeo ya kukosa uelewa na kibri cha kukataa kupewa uelewa.
Utaitwa Mataga, we subiri tu!!Sijaona sababu ya kunitusi kichaa naongea mazingira ninayo yajua nje ndani na Hali halisi ya wananchi wengi why uniite kichaa!!?
Hafu Mimi ni timamu kwahyo unaona mbunge akipata ubunge asishiriki kazi za kijamii aondoke arudi siku ya kura tu hao kina bonah kamoli wanaoshiriki kazi za kijamii jimboni mwao wanatoa hela mifukoni mwao?
Hivi tulia alivoweka kambi huko mbeya alitoa hela mfukoni Kuna vitu vya kutetea na sio hyo tabia ya kutelekeza Jimbo hafu wajiita mwenyekiti wa Chama kuwananga ccm, kumbe na wewe walewale tu.