Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,062
- 282,563
Hakuna mtu mwenye akili timamu anayeamini kuwa kesi dhidi ya Mbowe ni halisia.Hata Nyani Ngabu, wih half-a-brain anajua kesi ya ugai dhidi ya Mbowe ni mchongo mtupu [emoji1787][emoji1787]
Kama ulivyosema, bado kitambo kidogo, haya yatakwisha. Mama ni mtu wa huruma, amesema kusamehe kupo, mtu akiisha kuwa na roho ya kusamehe anasame tuu bila hata kuombwa msamaha.Siku zote msamaha anaombwa aliyekosewa.
, lakini bado kitambo kidogo, ushindi wa haki utapatikana.
Rais Samia anasema tusahau yaliyopita, tuanze upya.