WEWE NA CCM wapi na wapi? track records and comments zako ndani Jf na mtaani zinajulikana..... wacha kujipendekeza! wewe kwanza umekalia kuti kavu...ulibebwa ki aina kupanda daraja katika kazini.... jamaa yako aliyekubeba sasa hivi zinamshuka soon atashughulikiwa..... ushahidi wa uhalifu wako unamaliziwa kufanyiwa kazi.... JIANDAE.....UTAJIBEBA MWAKA HUU .....NAMBA UTAZISOMA mwaka huu Mchana MTUMISHI WA UMMA usiku UKAWA!
Naona ile single ya Chadema ni Zitto imeisha makali, sasa hata hii ya Magufuli ni muda tu usiozidi miaka 10. 2025 upinzani utaibuka kwa nguvu hutaamini. Wasira alisema Chadema itakufa 2013, akaja Kinana nae akasema muungano wa UKAWA ndiyo kaburi lao hawawezi kuelewana. Sasa bora hata muungano wa UKAWA kuliko huo muungano wenu wa Tanganyika na Zanzibar ambao sasa unaunganishwa na bunduki tu lakini watu hawana mpango na huo muungano.
Mkuu ingependeza sana kama ungejadili hoja zake kuliko kumjadili yeye,kwa maoni yangu tu.WEWE NA CCM wapi na wapi? track records and comments zako ndani Jf na mtaani zinajulikana..... wacha kujipendekeza! wewe kwanza umekalia kuti kavu...ulibebwa ki aina kupanda daraja katika kazini.... jamaa yako aliyekubeba sasa hivi zinamshuka soon atashughulikiwa..... ushahidi wa uhalifu wako unamaliziwa kufanyiwa kazi.... JIANDAE.....UTAJIBEBA MWAKA HUU .....NAMBA UTAZISOMA mwaka huu Mchana MTUMISHI WA UMMA usiku UKAWA!