M mmaroroi JF-Expert Member Joined May 8, 2008 Posts 4,628 Reaction score 2,291 Aug 22, 2024 #21 Chai isiyo na suakari.
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 45,280 Reaction score 37,075 Aug 22, 2024 #22 Quinine said: Inaonekana wewe ndio umeiandaa hiyo barua feki Click to expand... inmbox nimekutumia namba ya muhusika 🐒
Quinine said: Inaonekana wewe ndio umeiandaa hiyo barua feki Click to expand... inmbox nimekutumia namba ya muhusika 🐒
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 13,960 Reaction score 26,135 Aug 22, 2024 #23 Huyo aliyeandika hata kudanganya umma hajui
CHIEF PRIEST JF-Expert Member Joined Dec 13, 2021 Posts 21,102 Reaction score 41,384 Aug 22, 2024 #24 shamimuodd said: Ni kweli tunasikia kaandika barua chini ya mtutu wa bunduki na mbowe ndiyo alikuwa kamuwekea bastola aondoke kundini, dah hii NGO Click to expand... CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu na majuha
shamimuodd said: Ni kweli tunasikia kaandika barua chini ya mtutu wa bunduki na mbowe ndiyo alikuwa kamuwekea bastola aondoke kundini, dah hii NGO Click to expand... CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu na majuha
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 40,000 Reaction score 51,103 Aug 22, 2024 #25 Hivi mnyììka alisomea ukatibu mkuu wa chadema ?? Maana toka amalize chuo ndio anachokifanya.
Tangawizi JF-Expert Member Joined Jun 25, 2009 Posts 7,849 Reaction score 8,484 Aug 22, 2024 #26 Synonyms MP said: Swali, Kama kweli Mnyika Kajiuzuru barua yake iko wapi? View attachment 3076144 Pia soma Tetesi: - Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika asusa kuendelea na kazi Click to expand... Hizi NGO za wana siasa. Baadae ataenda kule anaanza kudanganya watu hili na lile
Synonyms MP said: Swali, Kama kweli Mnyika Kajiuzuru barua yake iko wapi? View attachment 3076144 Pia soma Tetesi: - Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika asusa kuendelea na kazi Click to expand... Hizi NGO za wana siasa. Baadae ataenda kule anaanza kudanganya watu hili na lile
N ndolelejiUduhe JF-Expert Member Joined May 16, 2024 Posts 4,130 Reaction score 4,263 Aug 22, 2024 #27 Interested Observer said: Imeshakua nchi ya Wahuni, 100% Banana Republic, fake news all the time na fraud Click to expand... Kwisha habari yetu 🙄🙄😱
Interested Observer said: Imeshakua nchi ya Wahuni, 100% Banana Republic, fake news all the time na fraud Click to expand... Kwisha habari yetu 🙄🙄😱
shamimuodd JF-Expert Member Joined Jan 28, 2019 Posts 1,192 Reaction score 2,119 Aug 22, 2024 #28 CHIEF PRIEST said: CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu na majuha Click to expand... Yaani wewe acha tu hiki kikundi cha wapinzani wanataka kutoana roho, si tupo mashuhuda
CHIEF PRIEST said: CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu na majuha Click to expand... Yaani wewe acha tu hiki kikundi cha wapinzani wanataka kutoana roho, si tupo mashuhuda