Walutheri mmeamua. Wakatoliki wanabaki na CCMView attachment 2164397
Hii ndio taarifa mpya kwa sasa , ambayo tunaisambaza tena kwenu wadau , kwamba Askofu Bagonza leo Amekutana na Mwamba wa siasa za Tanzania na kuteta naye machache .
Bado haijafahamika kilichozungumzwa , bali tetesi zinaonyeshwa kwamba masuala ya KATIBA MPYA na TUME HURU ya uchaguzi yamejadiliwa .
Ungepita tu pembeni wasingekuita mbea.Suruali yake ilivyokaa na kuuficha msalaba kwenye mfuko wa shati vinatia mashaka.
Hiyo ndiyo kazi iliyo tufanya na kuendelea kutufanya tumuamini huyu mwamba wa siasa hapa nchini.View attachment 2164397
Hii ndio taarifa mpya kwa sasa , ambayo tunaisambaza tena kwenu wadau , kwamba Askofu Bagonza leo Amekutana na Mwamba wa siasa za Tanzania na kuteta naye machache .
Bado haijafahamika kilichozungumzwa , bali tetesi zinaonyeshwa kwamba masuala ya KATIBA MPYA na TUME HURU ya uchaguzi yamejadiliwa .
Naona unaumia kimoyo moyo mwana sukuma gangWote ni makamanda, sasa cha ajabu hapo ni nini? Kwani kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake kule Iringa hawakukutana?
Hutaki kanywe sumuSuruali yake ilivyokaa na kuuficha msalaba kwenye mfuko wa shati vinatia mashaka.
Huyu ndiyo kiongozi wa dini haswaaa siyo wale wala ubwawa tu.Bagonza anasimamia haki
Kwa mtu yeyote mpenda haki lazima amkubali huyu kiongozi wa dini.Bagonza falsafa zake huwa nazikubali sana
Nakuona mfuasi wa mzimu unavyoteseka ukiwa burigiKwani kuna shida gani makamanda kukutana na Samia, na wao wenyewe kukutana ili kupeana mrejesho? Hata mr #dishlimetilt pia alikutana na Samia!
Kwani zamu yako ya kulinda kaburi umemaliza?Na wewe endelea kuweweseka
Kisa alikataa kuburuzwa na Mecoteam roho mbaya huwa hamkubali sijui kwa nini.
Umevurugwa vya kutoshaKwani yeye hoja iko wapi?
AminaMungu ibariki CHADEMA
Mbowe ajiangalie sana maaskofu wengine ni wahuni tu!View attachment 2164397
Hii ndio taarifa mpya kwa sasa , ambayo tunaisambaza tena kwenu wadau , kwamba Askofu Bagonza leo Amekutana na Mwamba wa siasa za Tanzania na kuteta naye machache .
Bado haijafahamika kilichozungumzwa , bali tetesi zinaonyeshwa kwamba masuala ya KATIBA MPYA na TUME HURU ya uchaguzi yamejadiliwa .
Mwaikali si mmeishamuondoa , bado tu jamani ?Mbowe ajiangalie sana maaskofu wengine ni wahuni tu!
Mtu anayejiadi kujua sana, mwishowe anagundua kuwa hajui kwa vile watu wanamjua zaidi ya anvyojjijua!Mwaikali si mmeishamuondoa , bado tu jamani ?
Ndio naniMwaikali si mmeishamuondoa , bado tu jamani ?
SahihiHaki na kweli....vikitamalaki tutakuwa huru na amani tele....tena hakina na kweli kweli
Mwamba kweli kweliHiyo ndiyo kazi iliyo tufanya na kuendelea kutufanya tumuamini huyu mwamba wa siasa hapa nchini.
Walikutana na walihutubia kila mtu alilitumia jukwaa.Wote ni makamanda, sasa cha ajabu hapo ni nini? Kwani kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake kule Iringa hawakukutana?